Kumbe mpenzi wangu ni mke wa mtu?

Kumbe mpenzi wangu ni mke wa mtu?

Hiyo form 4 kaijua leo kuwa haiendani na yeye?
 
kaka umeshagundua huyo ni mke wa mtu, Binafsi nakushauri achana na mali ya watu. Unajua hata mwenzio alipendwa vipi. Angalia wengine waligeuzwa wanawake.
 
mmh eti anakusaidia naww unatafuta daraja tu onyesha uanaume ww!!mke wa m2 ni sumu ugumu upo wapi kusaka wako .subiri kuachwa na wanao pia si unacheka mwanamme mwenzio....:A S 465:
 
Wewe unampenda??au upo nae kwa sababu anakupa vijisenti vyake?!
 
dah... pole kwako na kwa mpezi wako na mume wa mpenzi wako.... hiyo love triangle ina hasara kuliko faida aisee
Mtandao wa mapenzi.... Na wewe una mpenzi mwingine zaidi ya huyo Dokta, Mumewe naye ana nyumba ndogo yenye kidumu chenye mpenzi mwingine ambaye ana mpenzi na mwisho kabisa yule Mpenzi wako uliyepanga kumwoa kule kwenu naye anachukuliwa na mtu kwenye mtandao wenu...Sasa jiulize "tuko wangapi?"
Kaka nakushauri kimbia haraka sana ukikutw na yale ya yule jamaa wa Kenya je?
 
kuna thread hapa JF ya kaka aliyekatwa mkono kwa kutembea na mke wa mtu. isome halafu utafahamu uamuzi wa kuchukua

kuna sehemu mtu alichinjwa kama kuku aafu kichwa kikapondwapondwa kiasi cha kushindwa kujua kama ni kichwa au kitu kingine!!.
 
Sasa ujue mke wa mtu huumia zaidi ya mume wa mtu! Ndo maana naomba ushauri ili nimuache kwa amani!

aafu bro mi nakufahamu na huyo dada namfahamu, hivi kumbe hujaoa? Mbona ni mtu wa kuweza kupata mke safi tu ukatulia naye? Kwa nini uhangaike na mke wa mtu? Unajua hata huyo mwanaume alimpataje? Jua likizama kwa dada zetu ni ishu!
 
Unakiri kufanya zinaa na mke wa mtu halafu unataka ushauri? hukumu yako ni kifo. You are a living dead.
 
Sidhani kama anakufaa huyo,kwani alipo mchukua huyu baba wa watoto wake hakujua kama hajasoma? au wewe mwenzangu una Phd ya mapenzi? manake pesa unasema anakusaidia ukiwana shida, asikushughulishe kula uondoke
wako size yako tele wasokua na shida kama hizo......
 
Unakiri kufanya zinaa na mke wa mtu halafu unataka ushauri? hukumu yako ni kifo. You are a living dead.

Acha kunitishia Zomba! Acha watu watoe ushauri wa hekima, kwani wanawake wana alama zipi kama wameolewa? Kama hawana alama tutawajuaje? Mie nilijua nimepata mchumba.....!
 
Sidhani kama anakufaa huyo,kwani alipo mchukua huyu baba wa watoto wake hakujua kama hajasoma? au wewe mwenzangu una Phd ya mapenzi? manake pesa unasema anakusaidia ukiwana shida, asikushughulishe kula uondoke
wako size yako tele wasokua na shida kama hizo......

Asabaya! Ushauri wako mzuri, naufanyia kazi!
 
Wewe unampenda??au upo nae kwa sababu anakupa vijisenti vyake?!

In fact nilimpenda! But ktk hili ni lazima nichukue maamuzi magumu! Nimshukuru kasaidia kuisukuma Masters yangu!
 
Asante kaka, ushauri mzuri!
Sidhani kama anakufaa huyo,kwani alipo mchukua huyu baba wa watoto wake hakujua kama hajasoma? au wewe mwenzangu una Phd ya mapenzi? manake pesa unasema anakusaidia ukiwana shida, asikushughulishe kula uondoke
wako size yako tele wasokua na shida kama hizo......
 
Acha kunitishia Zomba! Acha watu watoe ushauri wa hekima, kwani wanawake wana alama zipi kama wameolewa? Kama hawana alama tutawajuaje? Mie nilijua nimepata mchumba.....!

Sikutishi huo ndio ukweli. Sasa umeshajuwa unataka ushauri wa nini? hapo ambapo ulikuwa hujui ulizini nae hujazini nae? kama ulizini nae hakuna uchumba hapo zinaa tupu/. Mchumba ni yule uliyekwenda kwao kumchumbia na hujafanya nae zinaa mnangoja muoane.

Umeshapima?
 
kama ameonelea ni vizuri akuambie that she's married, chukulia kama ishara ya kuwa anakuamini na kukudhamini. human beings by nature are not solitary animals, hatuwezi ishi maisha ya kipekee na kuwa na mahusiano ya kimapenzi ni lazima. kama amekupenda na wewe unafeel the same, sioni tatizo lolote. cha msingi naona umkalishe chini muelewe mnaelekea wapi. anaweza kuwa alikuwa ankueleza kuwa ana mume ili usije ukamzimia au ili umtoe kwenye hayo maisha ya utumwa. mawasiliano ndo hujenga relationships
 
masters na vijisenti vya kuunga kwa akina dada... elimu bongo si mchezo
 
Sikutishi huo ndio ukweli. Sasa umeshajuwa unataka ushauri wa nini? hapo ambapo ulikuwa hujui ulizini nae hujazini nae? kama ulizini nae hakuna uchumba hapo zinaa tupu/. Mchumba ni yule uliyekwenda kwao kumchumbia na hujafanya nae zinaa mnangoja muoane.

Umeshapima?

Zomba una umri gani labda?
 
Back
Top Bottom