Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtandao wa mapenzi.... Na wewe una mpenzi mwingine zaidi ya huyo Dokta, Mumewe naye ana nyumba ndogo yenye kidumu chenye mpenzi mwingine ambaye ana mpenzi na mwisho kabisa yule Mpenzi wako uliyepanga kumwoa kule kwenu naye anachukuliwa na mtu kwenye mtandao wenu...Sasa jiulize "tuko wangapi?"dah... pole kwako na kwa mpezi wako na mume wa mpenzi wako.... hiyo love triangle ina hasara kuliko faida aisee
kuna thread hapa JF ya kaka aliyekatwa mkono kwa kutembea na mke wa mtu. isome halafu utafahamu uamuzi wa kuchukua
Sasa ujue mke wa mtu huumia zaidi ya mume wa mtu! Ndo maana naomba ushauri ili nimuache kwa amani!
Unakiri kufanya zinaa na mke wa mtu halafu unataka ushauri? hukumu yako ni kifo. You are a living dead.
Sidhani kama anakufaa huyo,kwani alipo mchukua huyu baba wa watoto wake hakujua kama hajasoma? au wewe mwenzangu una Phd ya mapenzi? manake pesa unasema anakusaidia ukiwana shida, asikushughulishe kula uondoke
wako size yako tele wasokua na shida kama hizo......
Sidhani kama anakufaa huyo,kwani alipo mchukua huyu baba wa watoto wake hakujua kama hajasoma? au wewe mwenzangu una Phd ya mapenzi? manake pesa unasema anakusaidia ukiwana shida, asikushughulishe kula uondoke
wako size yako tele wasokua na shida kama hizo......
Acha kunitishia Zomba! Acha watu watoe ushauri wa hekima, kwani wanawake wana alama zipi kama wameolewa? Kama hawana alama tutawajuaje? Mie nilijua nimepata mchumba.....!
Sikutishi huo ndio ukweli. Sasa umeshajuwa unataka ushauri wa nini? hapo ambapo ulikuwa hujui ulizini nae hujazini nae? kama ulizini nae hakuna uchumba hapo zinaa tupu/. Mchumba ni yule uliyekwenda kwao kumchumbia na hujafanya nae zinaa mnangoja muoane.
Umeshapima?