Kumbe ‘Msama wa mama’ alipiga dili la milioni 984 na alikuwa na courage ya kuongea kwenye Media

Kumbe ‘Msama wa mama’ alipiga dili la milioni 984 na alikuwa na courage ya kuongea kwenye Media

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
TAKUKURU inawatafuta Alex Msama Mwita na Benny Mwita Sammoh wanaokabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi, kughushi nyaraka, utapeli na utakatishaji fedha kupitia Shauri la Uhujumu Uchumi Na. 1371/2026 lililofunguliwa Mahakama ya Kisutu Januari 21, 2026. Washtakiwa wanadaiwa kughushi nyaraka za mauziano ya kiwanja Kigamboni na kukiuza kwa kampuni ya World Oil Tanzania Ltd, wakijipatia zaidi ya Tsh bilioni 1, ambapo Tsh milioni 370 zilihamishiwa kwa Alex Msama. Baada ya kuitwa na TAKUKURU Desemba 2025, walishindwa kuripoti na sasa hati za kukamatwa zimetolewa. TAKUKURU inaomba msaada wa wananchi kutoa taarifa za mahali walipo. 📞 0738 150236 💰 Zawadi nono itatolewa.
 
Ooh ndege mjanja kanasa kwenye tundu BOvu
 
Back
Top Bottom