Kumbe mtandao wa Twitter unaweza kuhatarisha usalama endapo utatumika vibaya, ndio maana huwa unafungwa!

Ni sahihi kabisa maana hata mtandao wenyewe wa mabeberu.

Mimi nawaamini sana Wazarendo, ni wakati sahihi sasa wa kukataa kila kitu cha "mabeberu" kama mitandao, VXR V8, Mabomu ya machovu, Helicopters, silaha alias mabunduki, n.k

Yote haya naona yanahatarisha usalama.
 
Hata upungufu wa chakula au maji vinaweza kusababisha uvunjifu wa amani mahali husika.
 
Mataga bwana [emoji23][emoji23][emoji23]

Kama ni Usalama wa nchi since wafungie account ya mtu mbona wanafungia Twitter while at the same time "watu wa serikali" wanatumia under proxy and VPN !!!
 

You really missed the point. Tatizo mnakurupuka tu kuandika ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…