Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kwa sababu ndio umeamka kutoka usingizini fahamu kwamba Twitter imekuwa inafungia watumiaji ambao wanakiuka sheria zake za uendeshaji, hata hao wanaharakati wengine wamewahi kufungiwa na Twitter. Twitter imeonyesha weledi wa hali ya kumfungia hata mtu mkubwa kama Trump. Zaidi fahamu Twitter ni kampuni binafsi ya watu, sio chombo cha serikali.
Kwa nini wanaharakati wa haki za habari hawajalalamika Trump kunyimwa haki ya kutoa mawazo yake au kuwalaumu tweeter kunyima washabiki wa Trump kukosa ujumbe kutoka kwa kiongozi wao?
Naona wamekaa kimya ila ingekuwa huku kwetu wangepanua midomo saaanana vitisho,
Je wanaogopa tweeter au wanapendelea democratic?
Wao si ni bingwa wa haki hawaogopi mambo ya usalama kwa watu kukosa haki ya habari
Iweje wanamfungia Trump?
Hizi nchi ndogo tunaonewa saana.