Kumbe mtu anaweza akaangalia tamthilia ya kifilipino hadi akalia kama mtoto?

Hapo hapo wengine wanakumbukia walivyoachwa na madanga yao ndio wanaongeza na kasi ya kulia, hao ni wanawake mkuu, usiwaamini sanaa.
 
Mke wako kuna jamaa kwenye tamthilia anamkubali kuliko wewe .
 
Mi kuna kitabu kinatwa huba...zile page za mwisho dah nililia kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…