harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,907
Usicho kijua ni kwamba Kilichomliza sio tamthilia suburi siku mgombane utajua..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pich au video ili tuaminiKweli kuna watu hisia zao ziko karibu, jana nipo chumbani na shemeji yenu alikua anaangalia tamthilia ya kifilipino, baada ya mda sijui nini kilitokea nashangaa analia sana mpaka kawa mwekundu, nikiangalia kule kwenye [emoji342] tv nao wanalia, na alikua ameweka sauti ya juu yani pale chumbani pakawa kama kuna msiba ni vilio tuu.
Namuuliza nini tatizo nashangaa ananikumbatia analia tuu kwa kwikwi, ikabidi nizime tv ndio akanyamaza, nilishangaa sana namuuliza vipi ananiambia ile love story ilimpeleka mbali kihisia.
Hii sijui inakuaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Isje ikawa wewe ndo ulolia mkuu alafu wife ndo kakuhugekwahiyo ukaishia kukumbatiana tuu mkuu?