Kumbe muonekano wa nje unaweza usisadifu yaliyomo ndani

Kumbe muonekano wa nje unaweza usisadifu yaliyomo ndani

Zero Conscious

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2022
Posts
254
Reaction score
519
Habari za Muda huu wakuu. Nina Imani mapambano ya kuusaka mkate bado yanaendelea kama kawaida.

Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna kipindi nilitembelea wilaya fulani Mkoa X kwa ajili ya field yangu ya mwisho, niliyafurahia sana maisha Ndani ya eneo hilo. Nilifikia kwa mama yangu mdogo na kwa kipindi chote hicho cha field nilikuwa pale kwake. Kama mjuavyo tena mambo ya ujana, nilitamani sana kupata walau pisi moja pale kitaa Ili niwe napunguza weight.

Siku moja weekend majira kama ya saa nne nikiwa natoka getini nikakuta kuna mdada mmoja anapita kuelekea dukani. Nikiri alikuwa mzuri sana, simple body, black beauty halafu kapendeza kweli na nilivutiwa nae. Pepo la kibaharia likaniingia fasta na kuniambia kaka rusha ndoani hapa unaweza kupata nafasi ya kunesa kwenye kipago cha huyu manzi. Nikachekecha ubongo haraka nikaamua kumsimamisha. Akasimama, nikajaribu kuchukua details zake nikaona anarespond positive, akaniambia kumbe nae anaishi palepale kitaa. Ili nisimcheleweshe nikamuomba namba zake za simu na kumwambia tutawasiliana.

Nilisubiri jioni kabisa, nikawa nimemcheki tukaongeaa, nikaona huu ndio muda sahihi ngoja nitupie vocal. Alionekana kuelekea nnapohitaji kabisa ila akawa analeta vipingamizi vichache kwamba ni mapema sana maana ndio kwanza tu tumeonana hata hatujafahamiana vizuri. Najua wanaume hii moment mnaipata vizuri, brain huwa inaongeza ufanisi kukutengenezea waraka ambao ukiutuma kwa mrembo moja kwa moja lazima ataingia kwenye box. Ndivyo ilivyokuwa kwangu, nilimjaza hadi akajaa, nikaona hapa nimeopoaaa..

Zikapita siku kama mbili tunawasiliana kawaida tu, siku ya tatu nikaona ngoja nimuombe nyondi niichakate. Akasema niwe mvumilivu nipunguze haraka nikasema sio kesi twende kwa mwendo wa Pajero kama anavyotaka. Tukawa tunakutana Kila jioni nampiga mate lakini mzigo anakaza, dah nikaona ananivunja moyo.

Nilichokifanya nikaona ngoja nimpotezee kimya kimya tu maana anarusha sana. Nadhani hata yeye aliona kupungua kwa mawasiliano na kumjali kama mwanzo, akaanza kutuma sms za kusikitika tu kwanini nimebadilika si kama mwanzo na hajanizoea kwenye hali Ile.

Siku moja isiyo na jina majira ya saa mbili usiku nikiwa nacheza pool table na washkaji zangu, simu nikiwa nimeacha ndani sina hili wala lile nashangaa nashtuliwa tu na dogo mmoja kuwa kuna mtu pale dukani ananiita. Kutupa jicho vizuri kujua nani ananiita nikamuomba mrembo kasimama pale, alikuwa katupia gauni flani hivi classic halafu kajipodoa katoka kinyama. Nikawaaga jamaa nikawaambia nyie kuleni tu hiyo hela maana game ilikuwa haijaisha. Nafika dukani mrembo ananiuliza mbona hupokei simu wala kumjibu message zangu maana nimeanza kukupigia muda mrefu lakini naona kimya tu. Nikamwambia simu nimeacha ndani, kwani ilikuwa unasemaje? Akajibu, nilitaka kukwambia kama una muda nikutimizie lile hitaji lako. Huwezi amini nilijiona mwenye bahati sana, kumuuliza kajuaje nitakuwa kwenye pool table akasema amekuja tu kwa kubahatisha kama angeniona maana anafahamu ni sehemu ninapopapenda.

Ikabidi nimuulize kama bado muda unaruhusu kwake akajibu ndiyo. Nikawaza fasta nimpeleke wapi kumsulubu huyu mrembo. Uzuri sikuwa vibaya kimfuko, nikamwambia tusogee hapo mbele. Tukaenda hadi kwenye guest fulani nikaenda mapokezi kuulizia room nikakuta zipo. Nikalipia, nikapewa funguo za chumba Kisha nikazama ndani na mtoto mkali. Kwa uzuri wake, Muonekano na usafi wake nikajisemea huyu leo Nampa hukumu ya kiyakuza maana ni nadra kwangu kuotea warembo wa sampuli zile. Kufika ndani demu anasikitika kwa sauti ya kudeka kwanini ninampotezea kiasi hicho ilehali Mimi ndio nimemshawishi kuingia mapenzini. Nikajitetea kibaharia huku nondo imestand hadi inataka kung'oka. Tukaanza maandalizi pale, mla mate, chezea dodo, nikamvua nguo...

Hapo kwenye kumvua nguo ndio shida ilipoanzia. Atmosphere ilichange chumba kikawa kama vile nipo forodhani nimefata samaki. Nikajikaza sikutaka kuonyesha mabadiliko, lakini kichwani nikawa nawaza hivi kweli mtoto housing safi vile kumbe ndani ndio kipengele namna hii. Binti wa watu kaishika mashine kaitia mdomoni ila mi namtafakari tu kwamba nini hiki nakutana nacho Leo. Nilijikaza kiume kupiga ile show, yani kadri unavyopump ndio kama una-allow ile air kutoka, yeye hata hajali anatoa hadi miguno wakati mwenzake nakarbia kutapika kabisa ila najikaza.

Kiukweli naweza sema nilijikaza na ndio siku hiyo nikajijua kumbe mimi huwa ni mvumilivu sana. Baada ya pale demu anasema leo nataka upige hadi uridhike mwenyewe, daaaah ilabidi niandae tungo za kumpa Ili nikiepuke kile kikombe kwa usiku ule. Nikamwambia kwanini isiwe kesho baby maana hata hivyo leo umenishtukiza, nataka nikaandae cha kufundisha kesho. Akawa kaelewa japo kishingo upande huku akisisitiza kesho yake atajitahidi kupata muda Ili tuendelee tulipoishia.

Kilichofuata baada ya siku Ile nili-lose interest kabisa na yule demu, nilikuwa disappointed sababu ya expectations nilizokuwa nazo juu yake halafu ikawa vice versa. Kwakuwa hata time ya mimi kuwa kule ilikuwa ukingoni nilijikaza hadi siku ya kuondoka nikaona nimuage. Na kweli nilimuaga na nikarudi zangu home.

NB: Nilitumia Condom

Ulishawahi kukutana na situation ya namna hiyo? Ilikuaje upande wako?
 
Sawa bhana we nenda tu kaoge kwanza

JamiiForums1565163918.jpg
 
Unaonekana umeandika na akili za usingizi...
 
Asee Hamna kitu inakera kama kuingia room na MANZI halafu aanze kutoa harufu za ajabu ajabu.
Pole sana mkuu
Mademu wengi wa kibongo wako hivi, utakuta mtu anafanya kazi nzuri lakini haelewi maana ya kutumia deodorant ama perfume. Unakuta demu akivua nguo chumba chote kinanuka shombo la samaki aliyeoza na makwapa ndiyo usiseme sasa. Kina dada jirekebisheni jamani, maji yapo mnashindwa nini kuoga na kujichamba?
 
Mi ilinikuta, demu mzuri tu, ni kibonge afu ana bonge la tako. Kufika geto kavua nguo ile naanza kumpelekea moto duj naona harufu chumbani inabadilika. Kwa kuwa nlikuwa na nyege ckujali. Khee ile nmepiga bao si akili ikanirudi asee demu uchi unanuuukaa, kwapa linanukaaaa harufu imetapakaa kwny mashuka yaan ile harufu n mbaya zaid ya shombo la samaki. Afu namuuliza vp unahtaji ukaoge? Anasema hapana,,,,,duuuh .

Kibaya zaidi alikuwa na tumbo kubwa yaan ukimuinamisha hv tumbo linajitenga afu linaning'inia kabisa kama unavoonaga tumbo la nguruwe linavoning'inia .

Asee alipoondoka ndo ikawa kwa heri.
 
Mi ilinikuta, demu mzuri tu, ni kibonge afu ana bonge la tako. Kufika geto kavua nguo ile naanza kumpelekea moto duj naona harufu chumbani inabadilika. Kwa kuwa nlikuwa na nyege ckujali. Khee ile nmepiga bao si akili ikanirudi asee demu uchi unanuuukaa, kwapa linanukaaaa harufu imetapakaa kwny mashuka yaan ile harufu n mbaya zaid ya shombo la samaki. Afu namuuliza vp unahtaji ukaoge? Anasema hapana,,,,,duuuh . Asee alipoondoka ndo ikawa kwa heri.
Mkuu wewe ni Mnigeria?
 
Back
Top Bottom