Kumbe Mwigulu bado anahitajika na Magufuli, imeonekana leo

Mleta mada kama anauma na kupuliza, Mara umuunge Mwingulu, Mara Prof Kitila, umesimama wapi?
 
Huu mwandiko mbona kama wa Mwigulu mwenyewe? Neanda kwanza kafute zile chata kwenye mawe na madaraja nchi nzima yaliyoandikwa mwigulu Rais 2015.
 
Mwigulu ni mchumi 1st class sasa haina maana ya yeye kuwa mchumi halafu kila kukicha analilia Ubunge..
 
Unaongelea chama pinzani ambacho kitakufa kama KANU mwezi wa 10,maana bila TUME HURU hatutawapigia stamp uchaguzi huu.
 

Mwaka huu mmetuandalia siasa za kijinga kabisa, na huu upuuzi tutaendelea kuuona mpaka uchaguzi upite na kwenye majimbo yoote. Ngoja tuone
 
Sio vizuri kwa watu wazima na akili zao kuwatishia nyau!.

Lengo la uongozi ni utumishi wa umma, na sio kutafuta ulaji kama unavyotaka kupotosha kwa kumpaka paka siagi Prof. Kitila kwa mgongo wa chupa.

Mwigulu amehudumu vya kutosha Iramba, ameifanyia nini?. Kama kuna cha maana alichofanya, achukue tuu fomu, track record yake itamrudisha, lakini kama hakuna, apishe tuu njia viongozi ma strategists na watenda kazi waingie sio kutafuta ulaji bali kwenda kumsaidia Magufuli kwa karibu zaidi at policy levels.

Laiti ungelikijua kilichomfanya Mwigulu atumbuliwe usinge yasema haya uliyoyasema humu!.

Prof. Kitila just go go go...
P
 
Mkuu Paskali - a good analyst always, lkn tu naona kama vile na wewe unampigia debe Prof. Kitila. Mie nakuhakikishia sipo kwa yeyote kati ya hao ila naelezea tu uhalisia wa mambo ninavyoona yanaenda. Halafu kumbka Paskali kuwa humu JF huwa ni sehemu ya kufunguka sasa kama Dkt Mwigulu kuna kitu alifanya atumbuliwe unatakiwa uweke wazi hapa sio kufukia fukia!
 
Nonsense,take it,Prof ndie mbunge na sooner utaona hilosafiiii
 
Huyu njaa tupo anapenda madaraka sana hawezi kwenda kupigania haki upinzani huyu ni wale wafanyabiashara wa siasa
 
 
Prof ndie Mbunge ajae ,meza au tema ,hakuna chochote Mwigulu ametufanyia wana iramba,chohote
 
Huyu njaa tupo anapenda madaraka sana hawezi kwenda kupigania haki upinzani huyu ni wale wafanyabiashara wa siasa
Unajuaje kuwa Chama Tawala hawatakuwa wao ndiyo upinzani baada ya Uchaguzi wa Mwaka huu
 
Wanatafuta support ya kuvuka 2020

Wakishavuka salama, wakina mwigulu watatupwa mbali kama ndom
 
Nadhani wewe ni kijana labda ndo umemaliza chuo flani wala hujawahi ajiriwa. Ka uprofesa ungekuwa ni dili nadhani wengi ka kina Sarungi, Bashiru na wengine wengi tu kama Lipumba wsingelogana ili kubaki siasani. Usiombe kuionja sukari ya siasa. Haipungui utamu bali huongezeka utamu kila siku
 
Nadhani wewe ni kijana labda ndo umemaliza chuo flani wala hujawahi ajiriwa. Ka uprofesa ungekuwa ni dili nadhani wengi ka kina Sarungi, Bashiru na wengine wengi tu kama Lipumba wsingelogana ili kubaki siasani. Usiombe kuionja sukari ya siasa. Haipungui utamu bali huongezeka utamu kila siku.
Kitila anatamani ajioneshe kuwa anapendwa sasa na wananchi. Ataichukua fomu
 
Kwa kifupi CCM kuna uhaba wa viongozi wa maana ndiyo maana kuna wakati inabidi afanye marudio kwa kuteuwa walewale aliyewatumbua baada ya kufanya madudu mfano mzuri Simbachawene.
Pia kutokana na upungufu wa viongozi wa maana huko CCM ndiyomaana Baba Jurgen anawateuwa pia wale ng'ombe waliokatwa mkia mfano mzuri ni Kitila, Msando, kafulila a.k.a kima, Katambi a.k.a karai n.k

Pia ukaribu wa Mwigulu Nchemba na Mangula au na Baba Jurgen ni kwasababu tu wanahitaji matumizi ya usavimbi wake yanayohitajika kwenye kampeni za 2020 na sio kwamba wanampenda saana.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…