Tila-lila2
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 652
- 1,058
Kamati ya Roho Mbaya inakuletea:-
hai-load. Why?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamati ya Roho Mbaya inakuletea:-
Umemtendea haki aliyekutuma.Mnambua,
Aliyemteua Prof Kitila ndiye aliyemtumbua Dr Mwigulu na ndiye mwenyekiti wa kamati kuu ya CCM, usisahau hilo bwashee wenzio watakucheka!
Angalia uwezo wa simu au network yakohai-load. Why?
Mwanaume mzima unawachamba wenzio! Au Mwanamke wewe? Acha taaraabu!
He is an asset for campagning strategies 2020 general electionsAmekuja leo Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara - Mangula Iramba. Nipo hapa kikaoni anaongea - nilichogundua kumbe alikuwa na mawasiliano ya karibu na Dkt Mwigulu na Dk. Mwigulu bila wasiwasi akawaalika Timu yake iliyopo hapa Jimboni wahudhurie kikao hiki muhimu.
Inavyoonekana baada ya kushambuliwa sana mitandaoni na Dk. Mwigulu kujiondoa ufahamu na kuendelea kuitetea Serikali ya JPM basi JPM ameamua kumrudisha katika Timu yake kwa chini chini Dk Mwigulu na tayari Makamu Mwenyekiti Mangula anadhuru maeneo mbalimbali kuwarudisha kundini hawa ambao aliwatumbua wkt wa awamu yake hii ya tano.
JPM pia ameamua kuanza kurudisha umoja kwenye Chama baada ya kuona dalili za wengi kukumbilia upinzani iwapo mambo yataenda sivyo. Jambo hili halifanyiki kwa Mwigulu tu lkn pia kule kote ambako Mawaziri walipinduliwa na wakabaki kuwa loyal kwa JPM wanaendelea kutembelewa na kupewa nafuu na matumaini kuwa watarudi na wasiwe na wasiwasi.
Kutokana na ujio wa Mangula kujikita zaidi kwa Dk. Mwigulu na Prof. Kitila Mkumbo kuachwa achwa nyuma inaashiria wazi kuwa Prof. Kitila anapaswa awe mtulivu tu akubali kumpigia debe Dk. Mwigulu ili angalau aendelee kubakiza nafasi yake baada ya Uchaguzi huu. Kwa upande wangu naona Prof.
Kitila akiacha kuchukua Fomu aakuwa ameonesha udhaifu wa hali ya juu kwa kuwa yeye bado ana nafasi na isitoshe hata akiporwa Ukatibu Mkuu atarudi Chuo kufundisha na au hata kwenda mahali pengine popote ambapo pana maslahi mazuri zaidi. Hana cha kupoteza ila anaweza kujidhalilisha asipokuwa makini.
Sina pesa ya kuhonga mayu!😀😀 mimi napenda Siasa lakini Siasa hainipendi!Mayu kwanza habari ya Kyalosangi? Simbalungwala hadi Kizaga pako safi kabisa. Mayu natamani utokeze hata wewe tu sasa uchukue Fomu tumtoe huyu Mlewa Madaraka Dkt. Mwigulu. Tatizo huwezi jitokeza! Hata hivyo nakubaliana na wewe kuwa Iramba tumelala sana. Jamaa wakipata madaraka basi wanaanza siasa za Kitaifa wanashindwa hata kuunganisha watu wajitolee kwa ajili ya Iramba yao. Dkt. Mwigulu anaendelea na Kampeni na Prof. Kitila kaufyata baada ya Rais kutishia aliowateua kwa nafasi za kiutendaji wakienda siasa anawafyeeeekelea mbaliiii! Nani sasa aje Iramba mbadala mayu ili tusonge mbele. Tunabaki na siasa zile zile - watu makini kama wewe hawachukui Fomu, Why?
Aisee ndio maana kumbe nanii hii anajiita jiwe!Ccm hata tukiliteua jiwe litapita tu achana na ramli chonganishi
Kama makamu mwenyekiti anafanya ziara jimboni mbunge lazima awepo,unataka kitila aambate na makamu kama nani
Labda tutafute mtu ,alete mawazo mbadala! Tulijaribu kwa yule dada angalau atafute mtaji wa asilimia kumi tu...ili umsaidie mwaka huu naye kumbe alikuwa ni mchumia tumbo tu! Nashangaa hata kwenye Chama chake bado wanamwamini wamempa na Uongozi ! Ndio maana hawa wanasiasa hutakiwei kuwaamini Sana!Mayu kwanza habari ya Kyalosangi? Simbalungwala hadi Kizaga pako safi kabisa. Mayu natamani utokeze hata wewe tu sasa uchukue Fomu tumtoe huyu Mlewa Madaraka Dkt. Mwigulu. Tatizo huwezi jitokeza! Hata hivyo nakubaliana na wewe kuwa Iramba tumelala sana. Jamaa wakipata madaraka basi wanaanza siasa za Kitaifa wanashindwa hata kuunganisha watu wajitolee kwa ajili ya Iramba yao. Dkt. Mwigulu anaendelea na Kampeni na Prof. Kitila kaufyata baada ya Rais kutishia aliowateua kwa nafasi za kiutendaji wakienda siasa anawafyeeeekelea mbaliiii! Nani sasa aje Iramba mbadala mayu ili tusonge mbele. Tunabaki na siasa zile zile - watu makini kama wewe hawachukui Fomu, Why?
Mayu Mwaka huu sio uchaguzi wa kuhonga, we jitokeze tu!Sina pesa ya kuhonga mayu!😀😀 mimi napenda Siasa lakini Siasa hainipendi!
J. Kishoa? Huyu atamfuata Kafu sio muda mrefu ujao!Labda tutafute mtu ,alete mawazo mbadala! Tulijaribu kwa yule dada angalau atafute mtaji wa asilimia kumi tu...ili umsaidie mwaka huu naye kumbe alikuwa ni mchumia tumbo tu! Nashangaa hata kwenye Chama chake bado wanamwamini wamempa na Uongozi ! Ndio maana hawa wanasiasa hutakiwei kuwaamini Sana!
Hivi ule ushahidi wake wa mpaka mbinguni wa kesi ya ugaidi ya Lwakatare uliishia wapi kweli? Aaaaaiiiiseee yule baba amesota rumande karibu mwakaAmekuja leo Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara - Mangula Iramba. Nipo hapa kikaoni anaongea - nilichogundua kumbe alikuwa na mawasiliano ya karibu na Dkt Mwigulu na Dk. Mwigulu bila wasiwasi akawaalika Timu yake iliyopo hapa Jimboni wahudhurie kikao hiki muhimu.
Inavyoonekana baada ya kushambuliwa sana mitandaoni na Dk. Mwigulu kujiondoa ufahamu na kuendelea kuitetea Serikali ya JPM basi JPM ameamua kumrudisha katika Timu yake kwa chini chini Dk Mwigulu na tayari Makamu Mwenyekiti Mangula anadhuru maeneo mbalimbali kuwarudisha kundini hawa ambao aliwatumbua wkt wa awamu yake hii ya tano.
JPM pia ameamua kuanza kurudisha umoja kwenye Chama baada ya kuona dalili za wengi kukumbilia upinzani iwapo mambo yataenda sivyo. Jambo hili halifanyiki kwa Mwigulu tu lkn pia kule kote ambako Mawaziri walipinduliwa na wakabaki kuwa loyal kwa JPM wanaendelea kutembelewa na kupewa nafuu na matumaini kuwa watarudi na wasiwe na wasiwasi.
Kutokana na ujio wa Mangula kujikita zaidi kwa Dk. Mwigulu na Prof. Kitila Mkumbo kuachwa achwa nyuma inaashiria wazi kuwa Prof. Kitila anapaswa awe mtulivu tu akubali kumpigia debe Dk. Mwigulu ili angalau aendelee kubakiza nafasi yake baada ya Uchaguzi huu. Kwa upande wangu naona Prof.
Kitila akiacha kuchukua Fomu aakuwa ameonesha udhaifu wa hali ya juu kwa kuwa yeye bado ana nafasi na isitoshe hata akiporwa Ukatibu Mkuu atarudi Chuo kufundisha na au hata kwenda mahali pengine popote ambapo pana maslahi mazuri zaidi. Hana cha kupoteza ila anaweza kujidhalilisha asipokuwa makini.
Ilikuwa mbaya sana!Hivi ule ushahidi wake wa mpaka mbinguni wa kesi ya ugaidi ya Lwakatare uliishia wapi kweli? Aaaaaiiiiseee yule baba amesota rumande karibu mwaka
Amekuja leo Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara - Mangula Iramba. Nipo hapa kikaoni anaongea - nilichogundua kumbe alikuwa na mawasiliano ya karibu na Dkt Mwigulu na Dk. Mwigulu bila wasiwasi akawaalika Timu yake iliyopo hapa Jimboni wahudhurie kikao hiki muhimu.
Inavyoonekana baada ya kushambuliwa sana mitandaoni na Dk. Mwigulu kujiondoa ufahamu na kuendelea kuitetea Serikali ya JPM basi JPM ameamua kumrudisha katika Timu yake kwa chini chini Dk Mwigulu na tayari Makamu Mwenyekiti Mangula anadhuru maeneo mbalimbali kuwarudisha kundini hawa ambao aliwatumbua wkt wa awamu yake hii ya tano.
JPM pia ameamua kuanza kurudisha umoja kwenye Chama baada ya kuona dalili za wengi kukumbilia upinzani iwapo mambo yataenda sivyo. Jambo hili halifanyiki kwa Mwigulu tu lkn pia kule kote ambako Mawaziri walipinduliwa na wakabaki kuwa loyal kwa JPM wanaendelea kutembelewa na kupewa nafuu na matumaini kuwa watarudi na wasiwe na wasiwasi.
Kutokana na ujio wa Mangula kujikita zaidi kwa Dk. Mwigulu na Prof. Kitila Mkumbo kuachwa achwa nyuma inaashiria wazi kuwa Prof. Kitila anapaswa awe mtulivu tu akubali kumpigia debe Dk. Mwigulu ili angalau aendelee kubakiza nafasi yake baada ya Uchaguzi huu. Kwa upande wangu naona Prof.
Kitila akiacha kuchukua Fomu aakuwa ameonesha udhaifu wa hali ya juu kwa kuwa yeye bado ana nafasi na isitoshe hata akiporwa Ukatibu Mkuu atarudi Chuo kufundisha na au hata kwenda mahali pengine popote ambapo pana maslahi mazuri zaidi. Hana cha kupoteza ila anaweza kujidhalilisha asipokuwa makini.
Labda!Mkuu
Sasa ndio umeanza kuwaelewa CCM. Siku chache zijazo utamwona Kinana, Membe na Makamba wakiambatana na wana CCM wenzao kuipamba CCM tayari kwa ushindi wa kishindo.
Tusiandikie mate wakati wino upo.
Mh labda kwa vyam vingine sio CCM!Mayu Mwaka huu sio uchaguzi wa kuhonga, we jitokeze tu!
Hapo poa mayu. Mie ni muumini wa maendeleo haana vyama! Karibu Simbalungwala!Mh labda kwa vyam vingine sio CCM!