Kumbe Mwigulu bado anahitajika na Magufuli, imeonekana leo

Una uhakika kuwa hakuna alichokifanya Iramba? Au unasema kishabiki tu, katika wabunge wote wakiopita Iramba, Mwigulu kafanya mengi sana kuliko wote, ila hawezi fanya yote. Na hata aje nani hawezi maliza changamoto zote
Prof ndie Mbunge ajae ,meza au tema ,hakuna chochote Mwigulu ametufanyia wana iramba,chohote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maadam aliyemtumbua hakusema, naomba na mimi nisiseme. Maadam umesema anamrudisha, na tusubiri arudi.

Lakini ikitokea Mwigulu na Kitila kuchukua fomu, Mwigulu anajua atapigwa chini kwasababu yeye tayari ni spent force wakati Kitila ni fresh blood.
Mwigulu ni a liability, hana msaada wowote kwa Magufuli, wakati Kitila is an asset ndani ya new cabinet.

Mwigulu ni mwanasiasa wa siasa za mazoea, ni CCM stalwart, yaani mkereketwa na Mzalendo wa kujionesha kwa ma scarf, tai za bendera ya taifa na kofia kama ya Che Guevera lakini kwenye implementation ni zero, wakati Kitila ni political strategist mkimya, maneno mafupi na vitendo virefu.

Hata mimi ile 2015 nilikuwa na very high hopes na Mwigulu

Na pia nikathibitisha humu Mwigulu ni kichwa sana

Alianza kuharibu hapa
Karma ikala kichwa.
P
 
He,Mayu naona unalegea Kama mlenda wa Simbalungwala...niliekwambia CCM,itashinda uchaguzi kirahisi Sana Iramba Kama Hali ya kisiasa itaendelea kuwa hivi ilivyo!nikasisitiza Ujinga,wa Iramba ndio silaha ,na kinara wa kuendeleza ujinga huo Ni Mwigulu...kwa taarifa yako.kuna wajinga Kama asilimia 60 ambao Ni wafuasi wa Mwigulu!
Kwa kuwa Mwigulu Hana mbadala wa CCM,Hana ujanja Ni lazima awe mpole!
 
Hata mimi naliona hili. Ndiyo maana kiukweli kabisa Mwigulu tayari ameshaanza Kampeni na nina ushahidi huo - muda ukifika nitautoa huo ushahidi - kwa sasa namwacha kwanza anambwelambwela na kujaribu kupata wafuasi zaidi. Sasa kwa kuwa kishajikusanyia watu ndiyo maana CCM kinaona wasipomweka anaweza akabadilisha watu namna watavyoichukulia CCM. Mwigulu kiukweli yupo very strategic - nasema hivi sio kama nampigia debe - mie binafsi ningependa akae nje ya siasa mpaka 2025 may be aje ajaribu tena Urais.
 
Mayu kwanza habari ya Kyalosangi? Simbalungwala hadi Kizaga pako safi kabisa. Mayu natamani utokeze hata wewe tu sasa uchukue Fomu tumtoe huyu Mlewa Madaraka Dkt. Mwigulu. Tatizo huwezi jitokeza! Hata hivyo nakubaliana na wewe kuwa Iramba tumelala sana. Jamaa wakipata madaraka basi wanaanza siasa za Kitaifa wanashindwa hata kuunganisha watu wajitolee kwa ajili ya Iramba yao. Dkt. Mwigulu anaendelea na Kampeni na Prof. Kitila kaufyata baada ya Rais kutishia aliowateua kwa nafasi za kiutendaji wakienda siasa anawafyeeeekelea mbaliiii! Nani sasa aje Iramba mbadala mayu ili tusonge mbele. Tunabaki na siasa zile zile - watu makini kama wewe hawachukui Fomu, Why?
 
Paskali mambo yamebadilika kuanzia leo naona. Mangula kawa karibu sana na Mwigulu kuliko hata wale viongozi wa Chama wa Wilaya. Kuna kitu hapa. Hata hivyo mwenyewe pia anakiri sasa mambo yanaenda murua na inawezekana kama kuna makosa aliyafanya kishayaombea msamaha.
 
Hapana namaniisha October 2020
Tehe tehe tehe you are not serious. Au hujui kuwa zimemtoka Milioni 15 katuma mtu kaenda kafuta yale maandishi yaliyokuwa yanamtabiria yeye Rais 2015.
 
Tehe tehe tehe you are not serious. Au hujui kuwa zimemtoka Milioni 15 katuma mtu kaenda kafuta yale maandishi yaliyokuwa yanamtabiria yeye Rais 2015.
Dah noma sana kumbe kaufyata tayari?
 
Mwigulu mwenye wafuasi wengi zaidi kuzidi Prof. Kitila ambaye ni kama amepigwa PIN - hawezi kufurukuta kwa kuwa tayari kishapata fadhila za Mkuu na kilichobaki kwake ni kuhakikishiwa nafasi yake. Dkt.
Ccm hata tukiliteua jiwe litapita tu achana na ramli chonganishi
Kama makamu mwenyekiti anafanya ziara jimboni mbunge lazima awepo,unataka kitila aambate na makamu kama nani
 
Hakuna c
a msamaha,mwigulu is no longer,acha kujipa tumaini LA bure,atapigwa kweupeee
 
Ni kawaida sana mleta mada,siasa ndivyo zilivyo...

Great thinker™
 
Watu wengine sijui mkoje.utakua kula kulala wewe.hujui ata ni kwanini kuna upinzani nchini??
 

Wanaume wazima mnaanzisha mada humu mitandaoni kubembeleza mwanaume mwenzenu awateu mpate ulaji! Kweli wanaume watu wazima kama nyie hamuoni aibu? Mtakuja kuolewa kwa kuendekeza matumbo.
 
Wanaume wazima mnaanzisha mada humu mitandaoni kubembeleza mwanaume mwenzenu awateu mpate ulaji! Kweli wanaume watu wazima kama nyie hamuoni aibu? Mtakuja kuolewa kwa kuendekeza matumbo.
Mwanaume mzima unawachamba wenzio! Au Mwanamke wewe? Acha taaraabu!
 
Kamati ya Roho Mbaya inakuletea:-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…