Kumbe Mwigulu bado anahitajika na Magufuli, imeonekana leo

He is an asset for campagning strategies 2020 general elections
 
Sina pesa ya kuhonga mayu!😀😀 mimi napenda Siasa lakini Siasa hainipendi!
 
Ccm hata tukiliteua jiwe litapita tu achana na ramli chonganishi
Kama makamu mwenyekiti anafanya ziara jimboni mbunge lazima awepo,unataka kitila aambate na makamu kama nani
Aisee ndio maana kumbe nanii hii anajiita jiwe!
 
Labda tutafute mtu ,alete mawazo mbadala! Tulijaribu kwa yule dada angalau atafute mtaji wa asilimia kumi tu...ili umsaidie mwaka huu naye kumbe alikuwa ni mchumia tumbo tu! Nashangaa hata kwenye Chama chake bado wanamwamini wamempa na Uongozi ! Ndio maana hawa wanasiasa hutakiwei kuwaamini Sana!
 
J. Kishoa? Huyu atamfuata Kafu sio muda mrefu ujao!
 
Hivi ule ushahidi wake wa mpaka mbinguni wa kesi ya ugaidi ya Lwakatare uliishia wapi kweli? Aaaaaiiiiseee yule baba amesota rumande karibu mwaka
 

Mkuu

Sasa ndio umeanza kuwaelewa CCM. Siku chache zijazo utamwona Kinana, Membe na Makamba wakiambatana na wana CCM wenzao kuipamba CCM tayari kwa ushindi wa kishindo.

Tusiandikie mate wakati wino upo.
 
Mkuu

Sasa ndio umeanza kuwaelewa CCM. Siku chache zijazo utamwona Kinana, Membe na Makamba wakiambatana na wana CCM wenzao kuipamba CCM tayari kwa ushindi wa kishindo.

Tusiandikie mate wakati wino upo.
Labda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…