Kumbe Mwigulu Nchemba ni so fluent in English! Nilikuwa sijui maana nina kasumba fulani hivi

Kumbe Mwigulu Nchemba ni so fluent in English! Nilikuwa sijui maana nina kasumba fulani hivi

Chikenpox

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2022
Posts
784
Reaction score
1,246
Nilikuwa naamini Mwigulu Nchemba na wale wale wa kingereza cha is and was kama cha JPM cha kutamka catalyst kila pahala kana kwamba anajua neno hilohilo tu. Jana nilimsikia Nchemba akitema madini kule Ulaya sikuamini macho yangu.

Polepole anasubiri maana nilimsikia kule Malawi nikaona hamna kitu. Duh Nchemba umeliheshimisha taifa nimeamini ule msemo kwamba don't judge the book from its cover. Niliamini wachumi wengi Wana kingereza cha hivyo kama cha Lipumba.
 
Fluent English ni mavi mavi tu!
Ukiwa na wisdom ana knowledge ndio umemaliza walahi!
Vinginevyo ni ubwbwa tu!
Ulimsikia fatma karume? Amesha kaa Tanzania [emoji1241] more than 20years, baada ya kumaliza shule, lakini akiongea anajifanya kama mzungu wa uwingereza, totally idiotic mind walahi!
 
Huo tunaita ulimbukeni wa lugha
 
Fluent English ni mavi mavi tu!
Ukiwa na wisdom ana knowledge ndio umemaliza walahi!
Vinginevyo ni ubwbwa tu!
Ulimsikia fatma karume? Amesha kaa Tanzania [emoji1241] more than 20years, baada ya kumaliza shule, lakini akiongea anajifanya kama mzungu wa uwingereza, totally idiotic mind walahi!
Umenena ! Kiingereza ni lugha kama lugha nyingine tu ! Ukizaliwa huko utajua kiingereza hata bila kwenda shule ! Kama ulivyosema Wisdom na knowledge ndio mpango mzima !!
 
Hiyo kimombo chake kingekua na maana kama angikitumia kutafuta vyanzo vipya vya mapato na kodi sio kuongeza mzingo wa watanzania na deni la taifa
images.jpeg.jpg
 
Nilikuwa naamini Mwigulu Nchemba na wale wale wa kingereza cha is and was kama cha JPM cha kutamka catalyst kila Pahala kana kwamba anajua neno hilohilo tu. Jana nilimsikia Nchemba akitema madini kule Ulaya sikuamini macho yangu.

Polepole anasubiri mana nilimsikia kule Malawi nikaona hamna kitu. Duh Nchemba umeliheshimisha taifa nimeamini ule msemo kwamba don't judge the book from its cover. Niliamini wachumi wengi Wana kingereza cha hivyo kama cha Lipumba.
Another enslaved mind.

Mkuu. Lugha unayozungumza ndotoni ndo lugha unayopaswa kuwa fluent nayo. Usiwe na kasumba kwamba kuzungumza lugha ya opressor ndiyo ukomavu na ujuvi wa akili.

Tunaipima kazi yoyote kwa mikakati na matokeo.

Kiufupi umechemka
 
Fluent English ni mavi mavi tu!
Ukiwa na wisdom ana knowledge ndio umemaliza walahi!
Vinginevyo ni ubwbwa tu!
Ulimsikia fatma karume? Amesha kaa Tanzania [emoji1241] more than 20years, baada ya kumaliza shule, lakini akiongea anajifanya kama mzungu wa uwingereza, totally idiotic mind walahi!
Upo sahihi kabisa English isiwe kigezo cha kutufanya tuonekana tunajua au hutujui ni lugha kama lugha nyingine tu. Tuwafundishe wanetu njinsi ya Kutengeneza remote na toy cars na Vinginevyo vitu kwa kutumia lugha yetu Inawezekana wajameen. Speaking English doesn't make one to be smart period
 
Doesn't make one smart siyo doesn't make one to be smart. Ndugu jifunze kingereza utachekwa
 
Back
Top Bottom