Kumbe Mwigulu Nchemba ni so fluent in English! Nilikuwa sijui maana nina kasumba fulani hivi

Lakini kama alifundishwa darasani nae ni mtoto wa Kinyiramba kutoka kijijini na amewaleza kukimudu kwanini kisiwe kigezo? Usilimit mboni yako mzee, huenda ulikusudia kutazama vyema lakini hujaona vyema, Pole sana
 
Another enslaved mind.

Mkuu. Lugha unayozungumza ndotoni ndo lugha unayopaswa kuwa fluent nayo. Usiwe na kasumba kwamba kuzungumza lugha ya opressor ndiyo ukomavu na ujuvi wa akili.

Tunaipima kazi yoyote kwa mikakati na matokeo.

Kiufupi umechemka
"Another enslaved mind"? Hii si lugha ya oppressor!! Au ndio ule msemo "walie ndege wote akilia bundi uchuro" Hahaha huyo mtoto wa maskini kumudu hiyo lugha ni wazi kichwani yuko vyema ukizingatia si lugha yake ya kwanza na si lugha mama, umenikumbusha yule mvuta bangi aliimba " lugha ngeni za nini kwenye muziki wa Nyumbani? Take care utapotea" hahah uwe na kwaresma njema
 


Lete hiyo clip tumsikie sisi sote humu.
 
Kuna jamaa anaongea kiswahili kama vile kazaliwa Tanzania, bongo zozo jamaa balaah..
 
Does being fluent in a foreign Language make him a Good Leader?
 
Hivi Kuna uhusiano wa moja Kwa moja kati ya umahiri kwenye lugha tena ya kigeni na ubora elimu!!?
 
Kujua language ni jambo moja, lakini cha muhimu zaidi ni Knowledge , hata huko wingereza pamoja na kujua kingereza Mambumbu na matahira kichwani huyakosi. Language is nothing bila knowledge.
 
Kujua language ni jambo moja, lakini cha muhimu zaidi ni Knowledge , hata huko wingereza pamoja na kujua kingereza Mambumbu na matahira kichwani huyakosi. Language is nothing bila knowledge.
How can you acquire knowledge without language as a transmission tool?
 
Nashukuru kwa majibu ya kina.

Lakini kwaresma hainihusu mkuu
 
Umeongea pointi mkuu
 
Hana fluency yoyote kwenye kiingereza huyo madelu, nilimsikia jana anaongea kwenye kikao na mabeberu wa uingereza anaungaunga tu maneno na lafudhi mbovu ya kilugha, sidhani kama hao waingereza waliambulia chochote.......

Wanaija hawaelewani na wazungu acha upimbi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…