Kumbe mwisho wa mwezi!

Increment ipo mkuu?
daah hakuna cha increment wala nini zaid zaidi kilio tu nimekuta 170,000 haipo mamamamamaeee nimetamani kulia sijui ni HESLB au mistake ya NMB? daaj mbona hali itakua mbaya sasa..
 
Nimepita pale mbezi africana nmb, nimeona follen kubwa sana kwenye etm, kumbe kweli umetoka!
 
daah hakuna cha increment wala nini zaid zaidi kilio tu nimekuta 170,000 haipo mamamamamaeee nimetamani kulia sijui ni HESLB au mistake ya NMB? daaj mbona hali itakua mbaya sasa..
Hilo litakuwa tatizo la hazina, jaribu kwenda utumishi maana mimi mwenyewe ilitokea walinikata mshahara wa mwezi wa 7 wakanirudishia mwezi wa 8
Kweli Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…