Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daah hakuna cha increment wala nini zaid zaidi kilio tu nimekuta 170,000 haipo mamamamamaeee nimetamani kulia sijui ni HESLB au mistake ya NMB? daaj mbona hali itakua mbaya sasa..Increment ipo mkuu?
Looh hapo nenda ccm kafanye yako paleBasi itakuwa ishu ya halmashauri husika. Mimi nipo Iringa DC., na hapa sikutanii
Mbona unakuwa mbishi sana kama unapokea kwa NMBUongo
Hilo litakuwa tatizo la hazina, jaribu kwenda utumishi maana mimi mwenyewe ilitokea walinikata mshahara wa mwezi wa 7 wakanirudishia mwezi wa 8daah hakuna cha increment wala nini zaid zaidi kilio tu nimekuta 170,000 haipo mamamamamaeee nimetamani kulia sijui ni HESLB au mistake ya NMB? daaj mbona hali itakua mbaya sasa..
Kweli Mkuu