Kumbe mzungu aliekamata ndege yetu anaidai pia Kenya billions of shillings na pia ameiba thousands of acres huko Kenya

Hiyo kesi alikula dili na viongozi wa serikali ili ashinde wagawane Pesa kwenye rumbesa kesi za kisanihi hizo siyo kwa magufuli
Kwahiyo kama MAHAKAMA zenu hamtaki kuziheshi mnasema zimepewa dili, sasa nani tumuamini?. Mbona MAHAKAMA ilipomthibitisha Magufuli kuwa ndio mahindi wa uchaguzi MKUU 2015 baada ya Lowasa kuweka pingamizi, hukusema MAHAKAMA imekula dili?
 
Chukulia mfano Muafrika angemiliki ardhi ulaya.
Angepokonywa na wala asingepewa haki yoyote.
Hawa jamaa whites sio wa kuwachekea cause hao wanatufanyia more than.
 
Chukulia mfano Muafrika angemiliki ardhi ulaya.
Angepokonywa na wala asingepewa haki yoyote.
Hawa jamaa whites sio wa kuwachekea cause hao wanatufanyia more than.
Hilo sasa unapaswa kujiuliza, kwanini MAHAKAMA zetu azikuliona hilo unalolisema wewe?. Watanzania na waafrica tujitahidi kuishi kwa kuheshimu sheria tulizojiwekea wenyewe, hiyo ndio maana halisi ya ustaarabu na maendeleo.
 
Kwahiyo kama MAHAKAMA zenu hamtaki kuziheshi mnasema zimepewa dili, sasa nani tumuamini?. Mbona MAHAKAMA ilipomthibitisha Magufuli kuwa ndio mahindi wa uchaguzi MKUU 2015 baada ya Lowasa kuweka pingamizi, hukusema MAHAKAMA imekula dili?
Nani kakuambia mahakama hazufanyi rushwa na ufisadi
 
Nani kakuambia mahakama hazufanyi rushwa na ufisadi
Basi hata kumthibitisha Magufuli kuwa ndio mshindi ktk uchaguzi wa 2015 ilikua ni rushwa, Magufuli alitoa rushwa, mshindi halali alikua Lowasa, ama vipi?
 
Basi hata kumthibitisha Magufuli kuwa ndio mshindi ktk uchaguzi wa 2015 ilikua ni rushwa, Magufuli alitoa rushwa, mshindi halali alikua Lowasa, ama vipi?
Ilo mbona lipo wazi hata Zanzibar ila sisi atujali ilimladi magu ana pigania nchi yetu kiukweli ndiyo la msingi " atutaki kujua shirika letu la ndege limefufuka vipi tunataka kujua lilikufakufa vipi"
 
Kusema kweli kuna wakati naona hawa washinzi hawana aibu. Maana kila siku wana beza, na kuaibika na bado kikitokea kitu kingine wanabeza tena.

Naona ni chuki iliyochanganyika na akili ya kipumbuvu. Sielewi mtanzania anaanzaje kufurahi nchi yake kufanyiwa vitu vya ajabu kama kukamatwa kwa ndege, hata kama ni mpinzani.

Yaani huwa nachoka kabisa. Sijui hawaoni tulipotoka, tulipo na tunapotaka kuelekea?
 
Ilo mbona lipo wazi hata Zanzibar ila sisi atujali ilimladi magu ana pigania nchi yetu kiukweli ndiyo la msingi " atutaki kujua shirika letu la ndege limefufuka vipi tunataka kujua lilikufakufa vipi"
OK, sasa nimekuelewa wewe ni mtu wa karne gani.
 
Uzuri wapo wachache sana na mara zote hushindwa sababu toka waanze harakati za kuitakia awamu ya 5 ifeli wanaishia kufeli wao, Tanzania ndio kwaanza inapepea
 
Mali yake kivipi,ebu fanya research kama kuna mwafrika anaemiliki ardhi kubwa in europe
Wenye akili hiyo ni
Bro ni wazee wa conspiracy ndo wanaeza follow hii mambo.
Vibaraka hawaezi elewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…