Kumbe mzungu aliekamata ndege yetu anaidai pia Kenya billions of shillings na pia ameiba thousands of acres huko Kenya

Kumbe mzungu aliekamata ndege yetu anaidai pia Kenya billions of shillings na pia ameiba thousands of acres huko Kenya

Hiyo kesi alikula dili na viongozi wa serikali ili ashinde wagawane Pesa kwenye rumbesa kesi za kisanihi hizo siyo kwa magufuli
Kwahiyo kama MAHAKAMA zenu hamtaki kuziheshi mnasema zimepewa dili, sasa nani tumuamini?. Mbona MAHAKAMA ilipomthibitisha Magufuli kuwa ndio mahindi wa uchaguzi MKUU 2015 baada ya Lowasa kuweka pingamizi, hukusema MAHAKAMA imekula dili?
 
Kwanini hutaki kukubaliana na ukweli kwamba huyu jamaa alipeleka kesi ya kudai haki yake katika MAHAKAMA za Tanzania na alishinda kesi na serikali ya Tanzania kuamriwa kumlipa $36M?, hata baada ya serikali ya Tanzania kukata rufaa MAHAKAMA ya rufaa pia lishindwa?

Huyu jamaa kwenda huko South Afrika, alikwenda kukazia hukumu, kwenda kuomba nchi zingine kimsaidia kuishindikiza serikali ya Tanzania kumlipa kile walichoamuriwa na MAHAKAMA za Tanzania, wala sio mahakama za nje, tatizo lipo wapi kama mtu anapigania kulipwa haki yake halali aliyopewa na mahakamani?, huu ni uzalendo gani wa kushabikia serikali kukiuka amri za MAHAKAMA heti kwa sababu ni mzungu?

Hata wanasheria wetu hawakanishi kwamba hatudaiwi, wao wanachodai ni kwamba, kisheria alipaswa kutumia mahakama za Tanzania. Kitu cha kushangaza ni kwamba, hao wanasheria wetu wanaomkosoa huyu jamaa kwa kutotumia mahakama za Tanzania, ndio hao hao ambao wamekua wakipuuza AMRI za MAHAKAMA hizo hizo za Tanzania.

Huu wimbo wa "Mabeberu hawatutakii mema" unapendeza zaidi tukiuimba kwa kuangalia "Muktadha" na mazingira, huwezi kuimba nyimbo za "Bongo flava" katika msiba, japo ni wimbo MZURI, ila mazingira yake hayaruhusu.
Chukulia mfano Muafrika angemiliki ardhi ulaya.
Angepokonywa na wala asingepewa haki yoyote.
Hawa jamaa whites sio wa kuwachekea cause hao wanatufanyia more than.
 
Chukulia mfano Muafrika angemiliki ardhi ulaya.
Angepokonywa na wala asingepewa haki yoyote.
Hawa jamaa whites sio wa kuwachekea cause hao wanatufanyia more than.
Hilo sasa unapaswa kujiuliza, kwanini MAHAKAMA zetu azikuliona hilo unalolisema wewe?. Watanzania na waafrica tujitahidi kuishi kwa kuheshimu sheria tulizojiwekea wenyewe, hiyo ndio maana halisi ya ustaarabu na maendeleo.
 
Kwahiyo kama MAHAKAMA zenu hamtaki kuziheshi mnasema zimepewa dili, sasa nani tumuamini?. Mbona MAHAKAMA ilipomthibitisha Magufuli kuwa ndio mahindi wa uchaguzi MKUU 2015 baada ya Lowasa kuweka pingamizi, hukusema MAHAKAMA imekula dili?
Nani kakuambia mahakama hazufanyi rushwa na ufisadi
 
Nani kakuambia mahakama hazufanyi rushwa na ufisadi
Basi hata kumthibitisha Magufuli kuwa ndio mshindi ktk uchaguzi wa 2015 ilikua ni rushwa, Magufuli alitoa rushwa, mshindi halali alikua Lowasa, ama vipi?
 
Basi hata kumthibitisha Magufuli kuwa ndio mshindi ktk uchaguzi wa 2015 ilikua ni rushwa, Magufuli alitoa rushwa, mshindi halali alikua Lowasa, ama vipi?
Ilo mbona lipo wazi hata Zanzibar ila sisi atujali ilimladi magu ana pigania nchi yetu kiukweli ndiyo la msingi " atutaki kujua shirika letu la ndege limefufuka vipi tunataka kujua lilikufakufa vipi"
 
Kuna wale waliokua wakiwakebehi mawakili wetu mara ooh hoja zao za kibashite, ooh hawatoweza kuongea English (at the same time case zote za high court Tanzania huendeshwa kwa English), ooh hakuna mzungu fala na blabla nyingi kwamba tutashindwa, saivi yako na soni hawana pa kuipeleka.
Kusema kweli kuna wakati naona hawa washinzi hawana aibu. Maana kila siku wana beza, na kuaibika na bado kikitokea kitu kingine wanabeza tena.

Naona ni chuki iliyochanganyika na akili ya kipumbuvu. Sielewi mtanzania anaanzaje kufurahi nchi yake kufanyiwa vitu vya ajabu kama kukamatwa kwa ndege, hata kama ni mpinzani.

Yaani huwa nachoka kabisa. Sijui hawaoni tulipotoka, tulipo na tunapotaka kuelekea?
 
Ilo mbona lipo wazi hata Zanzibar ila sisi atujali ilimladi magu ana pigania nchi yetu kiukweli ndiyo la msingi " atutaki kujua shirika letu la ndege limefufuka vipi tunataka kujua lilikufakufa vipi"
OK, sasa nimekuelewa wewe ni mtu wa karne gani.
 
Kusema kweli kuna wakati naona hawa washinzi hawana aibu. Maana kila siku wana beza, na kuaibika na bado kikitokea kitu kingine wanabeza tena.

Naona ni chuki iliyochanganyika na akili ya kipumbuvu. Sielewi mtanzania anaanzaje kufurahi nchi yake kufanyiwa vitu vya ajabu kama kukamatwa kwa ndege, hata kama ni mpinzani.

Yaani huwa nachoka kabisa. Sijui hawaoni tulipotoka, tulipo na tunapotaka kuelekea?
Uzuri wapo wachache sana na mara zote hushindwa sababu toka waanze harakati za kuitakia awamu ya 5 ifeli wanaishia kufeli wao, Tanzania ndio kwaanza inapepea
 
Mali yake kivipi,ebu fanya research kama kuna mwafrika anaemiliki ardhi kubwa in europe
Wenye akili hiyo ni
Na hapo ndio baadhi ya Waafrica tunazidi upambe yaani mtu anajifanya humanitarian mpaka anamzidi Mother Teresa of Calcutta, hivi kuna kiongozi hata mmoja wa West au hata International bodies like amnesty International au UN ameshatoa karipio kuhusu yanayoendelea South?

Lakini Mugabe alipojaribu kuchukua tu mashamba yao wa Zimbabwe yaliyokua yakimilikiwa na wazungu, nchi zote za wazungu ziliiwekea vikwazo na kuharibu kabisa uchumi wa Zimbabwe mpaka leo

Bro ni wazee wa conspiracy ndo wanaeza follow hii mambo.
Vibaraka hawaezi elewa.
 
Back
Top Bottom