Kumbe na hapo Samia alikuwepo?

Kumbe na hapo Samia alikuwepo?

Uzembe wa Samia hauhalalishi Ukatili na uvunjaji wa katiba wa JPM

Wote ni haohao tu, kutoka katika chama kilekile kilichofeli
Ninakubaliana nawe kuwa wote ni hao hao, tena zaidi kwa wengine wao; ila ukichukua tu hicho kipande cha maneno yaliyosemwa hapo na kuacha matakataka mengine pembeni; hayo maneno yana ukweli mkubwa sana.
 
View attachment 2650436Ni JPM alipokuwa akiunguruma kwa hasira mbele ya wote waimba nyimbo na mapambio.

Ajabu ni kwamba hata mjomba wa jamaa zetu alikuwa hapo.
Hata yeye alikuwa mchawi wa Tanzania...wakati wa kipindi Chake alitudanganya sana..Accacia, Kubwa zaidi alifanya Bunge liwe vikao vya kahawa na umbea! ..DHAMBI KUBWA SANA!
 
Ninakubaliana nawe kuwa wote ni hao hao, tena zaidi kwa wengine wao; ila ukichukua tu hicho kipande cha maneno yaliyosemwa hapo na kuacha matakataka mengine pembeni; hayo maneno yana ukweli mkubwa sana.
Mwanasheria ni mshauri tu, hawezi kulazimisha, tizama safari zote Samia anazofanya nje ya nchi hutoona akiambatana na AG kitu ambacho sio rahisi kukiona kwa wenzetu, nadhani ndo sababu majuzi kamteua Masaju kuwa mshauri wake wa kisheria sababu Jaji Feleshi hanunuliki.
 
View attachment 2650436Ni JPM alipokuwa akiunguruma kwa hasira mbele ya wote waimba nyimbo na mapambio.

Ajabu ni kwamba hata mjomba wa jamaa zetu alikuwa hapo.
Nadhani ule muda ambao huwa anafanya mazoezi ya mwili, ungepunguzwa ili apate na muda wa kumsikiliza mtangulizi wake hasa hasa kwa issues za mikataba, uzalendo n.k. Akili pia inahitajinkufanyiwa mazoezi. Ahsante.
 
Ninakubaliana nawe kuwa wote ni hao hao, tena zaidi kwa wengine wao; ila ukichukua tu hicho kipande cha maneno yaliyosemwa hapo na kuacha matakataka mengine pembeni; hayo maneno yana ukweli mkubwa sana.
Ni kweli hayo maneno yana ukweli mkubwa na usahihi wa kutosha, lakini wanaoyafanya ni wao, hata yeye alikopa hovyo tena mikopo ya kibiashara yenye madhara kwa taifa
 
Nimepata hasira kabisa kwa yule mama kuingia mkataba wa hovyo wa kuuza nchi kwa Dp world hadi natamani nije nimchape makofi siku moja kwenye mkutano wa hadhara
 
Mwanasheria ni mshauri tu, hawezi kulazimisha, tizama safari zote Samia anazofanya nje ya nchi hutoona akiambatana na AG kitu ambacho sio rahisi kukiona kwa wenzetu, nadhani ndo sababu majuzi kamteua Masaju kuwa mshauri wake wa kisheria sababu Jaji Feleshi hanunuliki.
Sawa.
"Mwanasheria anashauri, hawezi kulazimisha", sasa hapo huoni kwamba mwanasheria huyo kafanya kazi yake ipasavyo? Kama ushauri wake unakataliwa, hilo sasa ni jambo jingine kabisa. La muhimu ni kutoa ushauri wa kweli kuhusu jambo. Kama ni baya, atashauri ni baya na sababu za ubaya wake. Hiyo kazi ni muhimu sana, bila kujali atakayofanya huyo anayekiuka ushauri kwa sababu zake mwenyewe.

Na hapo hapo kuonyesha kwamba unakubaliana na swala hili, umemtaja Feleshi, kuwa hanunuliwi. Sasa hiyo si ni heshima kubwa kwake, kama ni kweli?
 
Back
Top Bottom