Kukopa na kufanya kazi inayoonekana na yenye manufaa sioni ubaya wake. Kukopa itakuwa ni hasara kwa taifa kama mikopo hiyo haitimizi malengo yaliyokusudiwa.Ni kweli hayo maneno yana ukweli mkubwa na usahihi wa kutosha, lakini wanaoyafanya ni wao, hata yeye alikopa hovyo tena mikopo ya kibiashara yenye madhara kwa taifa