Yule mdunguaji, ambaye anawadungua Kunguru na Makinda yao akiwa kusikojulikana, jana amempopoa 'Tyson' kuwa eti kwenye kazi yake ya kusaidia kubeba kiti, alipigiwa chapuo na mtu mumoja ambaye hata hivyo Mdunguaji hakumtaja kwa jina.
Kama ilivyo ada, tangu mdunguaji aanze kuwapopoa Kunguru, Makinda yao, hakuna hata mumoja wao aliyethubutu kujibu na badala take wanatumia Makinda yao ya kambo yenye njaa kuboyongoka, hali hii inasababisha kenge mamia kwa maelfu waamini maneno ya mdunguaji.
Kama huyu Tyson aliwekwa na mtu kusaidia kubeba kiti, hapo kweli kuna nyumba?
Hawa kenge wanaobebwa kwenye mikokoteni mpaka wanapata ajali wanavunjika viuno wanapigania nyumba gani?
Wenye nyumba ndio wanaamua nani awe nani, kenge mtaishia kusombwa kwenye mikokoteni, kupigwa vumbi! Mimi simo