Pre GE2025 Kumbe Nape na Makamba ni trailer tu, lengo hasa ni waleee!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna mtu nimetoka kumwambia jana, hawa CCM ni akili nyingi... Kuna jambo... Na si hili tu kuna mengine mengi tu... Watu wamekaa vikao na kukubaliana nn wafanye na ni kwa lengo gani ili wapate matokeo wanayotaka
Mkuu kama nakuelewa kwa mbali...................
 
Daraja la Busisi linakamilika December 2024.
 
Acha uzushi wewe. Hao watu huoni jinsi wengi wamefurahi kutemwa kwao. Mama kaona atupe pakacha mbovu. Wana tamaa ya ukuu na kujiamini bure tu huku hawana weledi wala uadilifu.
 
Hapana mama samia nampongeza sio kuwa nawachukia waliotoka bali kajipa heshima kuwa haendeshwi
 
Mmh aiseee
Duh
Uwezo mkubwa wa kuongoza?
Mbona tungrkuwa mbali sn?
Labda uwezo wa kujinufaisha wao na familia zao sio nchi
 
Muulize Ndugai atakupa majibu sahihi alivyoondolewa uspika huku anautaka.

Unaandikiwa barua ya kujiuzuru huku umewekewa beretta kichwani usaini.
Hakuna cha Berretta wala nini, yeye aliamua kujipumzisha tu baada yakuona anazodolewa na vijana kama akina Musukuma n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…