Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kama nakuelewa kwa mbali...................Kuna mtu nimetoka kumwambia jana, hawa CCM ni akili nyingi... Kuna jambo... Na si hili tu kuna mengine mengi tu... Watu wamekaa vikao na kukubaliana nn wafanye na ni kwa lengo gani ili wapate matokeo wanayotaka
Daraja la Busisi linakamilika December 2024.Ili umpe kipigo cha mbwa koko mtoto wa kambo pasipo lawama, basi anza kwa kumfinya mwanao wa kumzaa. Anapoanza kulia mtoto pendwa ndipo unanza kushusha kipondo cha kuvunja mikono kwa mtoto wa kambo.
Majirani wanaotazama kinachoendelea watajua unagawa adhabu kwa wote bila upendeleo, lkn kumbe umedhamiria kumtia ulemavu mtoto wa kambo.
Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Nape na Makamba wamefinywa tu, ili sasa watoto wa kambo (wale wa kanda ilee) waanze kushughulikiwa ipasavyo, na hakuna atakayestukia. Itaonekana ni mpango wa kawaida wa mama.
Inadaiwa watoto hawa hawaishi lawama, wanadai wanabaguliwa, wanafanya mipango hatarishi ya kuandaa mtu wao wa kumtoa mama ndani ya nyumba. Mama kaona ili kushughulika nao pasipo lawama, acha awafinye wanaye wa kuzaa, waanze kulia ndipo awageukie watoto wa kambo.
Ndiyo maana tetesi zinasema haya yaliyofanyika ni tone tu la mabadiliko makubwa yanayokuja. Watoto wa kambo wajiandaye kisaikolojia.
Acha uzushi wewe. Hao watu huoni jinsi wengi wamefurahi kutemwa kwao. Mama kaona atupe pakacha mbovu. Wana tamaa ya ukuu na kujiamini bure tu huku hawana weledi wala uadilifu.Ili umpe kipigo cha mbwa koko mtoto wa kambo pasipo lawama, basi anza kwa kumfinya mwanao wa kumzaa. Anapoanza kulia mtoto pendwa ndipo unanza kushusha kipondo cha kuvunja mikono kwa mtoto wa kambo.
Majirani wanaotazama kinachoendelea watajua unagawa adhabu kwa wote bila upendeleo, lkn kumbe umedhamiria kumtia ulemavu mtoto wa kambo.
Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Nape na Makamba wamefinywa tu, ili sasa watoto wa kambo (wale wa kanda ilee) waanze kushughulikiwa ipasavyo, na hakuna atakayestukia. Itaonekana ni mpango wa kawaida wa mama.
Inadaiwa watoto hawa hawaishi lawama, wanadai wanabaguliwa, wanafanya mipango hatarishi ya kuandaa mtu wao wa kumtoa mama ndani ya nyumba. Mama kaona ili kushughulika nao pasipo lawama, acha awafinye wanaye wa kuzaa, waanze kulia ndipo awageukie watoto wa kambo.
Ndiyo maana tetesi zinasema haya yaliyofanyika ni tone tu la mabadiliko makubwa yanayokuja. Watoto wa kambo wajiandaye kisaikolojia.
Mmh aiseeeIli umpe kipigo cha mbwa koko mtoto wa kambo pasipo lawama, basi anza kwa kumfinya mwanao wa kumzaa. Anapoanza kulia mtoto pendwa ndipo unanza kushusha kipondo cha kuvunja mikono kwa mtoto wa kambo.
Majirani wanaotazama kinachoendelea watajua unagawa adhabu kwa wote bila upendeleo, lkn kumbe umedhamiria kumtia ulemavu mtoto wa kambo.
Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Nape na Makamba wamefinywa tu, ili sasa watoto wa kambo (wale wa kanda ilee) waanze kushughulikiwa ipasavyo, na hakuna atakayestukia. Itaonekana ni mpango wa kawaida wa mama.
Inadaiwa watoto hawa hawaishi lawama, wanadai wanabaguliwa, wanafanya mipango hatarishi ya kuandaa mtu wao wa kumtoa mama ndani ya nyumba. Mama kaona ili kushughulika nao pasipo lawama, acha awafinye wanaye wa kuzaa, waanze kulia ndipo awageukie watoto wa kambo.
Ndiyo maana tetesi zinasema haya yaliyofanyika ni tone tu la mabadiliko makubwa yanayokuja. Watoto wa kambo wajiandaye kisaikolojia.
DuhCCM ni taasisi imara sana yenye mizizi hadi kwenye shina huko kijijini kwenu na ina ombwe la vijana na wazee wenye uwezo mkubwa sana kuongoza nchi na kushinda uchaguzi.
Nape na Makamba ni watu wadogo sana kwenye chama, CCM haiwezi kutetereka kwa kutoka kwao, ila wao ndio watakaoteseka, wanasiasa hawawezi kufanya chochote bila ya cheo, hata kuuza pipi hawawezi, ndio maana uliona Nape ilibidi ajishushe kwa JPM ili aendelee kuishi.
Hakuna cha Berretta wala nini, yeye aliamua kujipumzisha tu baada yakuona anazodolewa na vijana kama akina Musukuma n.k.Muulize Ndugai atakupa majibu sahihi alivyoondolewa uspika huku anautaka.
Unaandikiwa barua ya kujiuzuru huku umewekewa beretta kichwani usaini.