Tetesi: Kumbe Nchimbi aligoma kuambatana kwenye ziara na Makonda?

ungetupa source ya taarifa yako
 
Kuna mahali nimesoma ambapo mwandishi ameomba kutajiwa angalao kero tano ambazo Makonda alizipatia ufumbuzi alipokuwa Mwenezi. Jibu halijatolewa. Je, yupo mwenye jibu?, atutajie.
👍👌👏🤝🔊
 
Hata ungekiwa wewe mleta mada ungekubali kuambatana na hamnazo Makonda?
 
🤣 🤣 🤣
 
Ninajua haumpendi Makonda. Lakin,Munyonge mnyonge na haki yake mpe. Makonda ni mzuri mara 500 kwenye uongoz kuliko Nchimbi na Makalla. Makonda, alivutia watu wengi sana kwenye mikutano yake.Na watu walimkubali. Alikipaisha chama.
Mkuu Makonda alikuwa anagombea urais?? Wewe mdanganye Samia, atakiona zaidi ya alichokiona Mwendazake hadi akaamua kuweka mpira kwapani na kuondoka nao uwanjani maana mechi ilishamshinda mazima!
 
Mkuu Makonda huyu huyu, ama unasema mtu mwingine! 🤣 🤣 🤣
 
Nchimbi alimuogomba Makonda kuwa ata, mu outshine. Makonda ana mvuto wa watu. Anapendwa kuliko hao wazee , ambao hawana, mvuto. Mambo ni ya kisasa sio ya, kina nchimbi na Makalla hata kuongea tu shida.
Mvuto unaletwa na yale matako yake? Tumia akili we bwege badala ya makalio.
 
Mbona Makonda kasifiwa alikichemsha chama?!
Uliwahi kusoma shule yenye mabweni ya watu wengi?
Basi iko hivi, mmoja akivimbiwa na kuanza kujamba basi huwa analifanya bweni zima LINACHANGAMKA maana hakuna kulala tena bali mtafaruku.
Ndio Makonda huyo! Hivi hujui watu wa pwani wanayo misemo yao?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Nchimbi alimuogomba Makonda kuwa ata, mu outshine. Makonda ana mvuto wa watu. Anapendwa kuliko hao wazee , ambao hawana, mvuto. Mambo ni ya kisasa sio ya, kina nchimbi na Makalla hata kuongea tu shida.
Umewahi kujiuliza kwa nini Makonda anapendwa sana na watu wasio na elimu, uelewa na wenye wivu?
Ukiitambua hiyo sababu utamtambua vizuri Makonda, mtu Muongo.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Umewahi kujiuliza kwa nini Makonda anapendwa sana na watu wasio na elimu, uelewa na wenye wivu?
Ukiitambua hiyo sababu utamtambua vizuri Makonda, mtu Muongo.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Yaan ndugu yangu, kabla ya kuandika hii hoja yako ulifikiria au umekurupuka tu? Umefanya utafiti wapi ukagundua kuwa wanaompenda Makonda hawana elimu , wenye wivu na wasio na, uelewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…