Tetesi: Kumbe Nchimbi aligoma kuambatana kwenye ziara na Makonda?

Mvuto unaletwa na yale matako yake? Tumia akili we bwege badala ya makalio.
Inaonekana Makonda amewakamata vizur, badala mtoe hoja mnaaza matusi.Weka hoja ya msingi tukuone kama ww nawe ni binadamu mwenye akili.
 
Mkuu Makonda alikuwa anagombea urais?? Wewe mdanganye Samia, atakiona zaidi ya alichokiona Mwendazake hadi akaamua kuweka mpira kwapani na kuondoka nao uwanjani maana mechi ilishamshinda mazima!
Nafikiri Mungu ni wa wote. Kila kitu ni kwa zamu ndugu yangu. Hiyo ndiyo philosophy ya dunia. Watakuja kufa watu , musiotegemea. Mtabaki midomo wazi. Na watu, wenye mawazo kama yenu, uwezo wenu ni mdogo katika, kufikiria. Kuna mtu mmoja , Magu alipokufa akasema kwa kiburi kuwa Mungu ameamua ugomvi. Hata miaka miwili haikupita, ndugu yake nae akafa. Tuombe uhai tu lakin Mungu ni wa wote.
 
Muuaji apendwe na nani? Labda na wasio na akili au wauaji wenzake.
Nilishawahi kukuomba unite evidence isiyo na, mashaka kuwa huyu mtu ni muuaji. Ulishindwa kutoa hiyo evidence. Unakimbilia hoja dhaifu kuwa USA walisema. Nikakuuliza swali, USA, waliposema kuwa Sadam Hussein ana silaha za, nyukilia, he walimkuta nazo? Au USA waliposema kuwa Gaddafi ana siraha za nyukilia, je walimkuta nazo?
Muuaji apendwe na nani? Labda na wasio na akili au wauaji wenzake.
 
Hao wazee wanafanana kwa mengi,hadi sura si unaona mashavu yametuna kama wako kwenye dose kubwa ya prednisolone.
 
Namuona Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi yupo bega kwa bega na Katibu mpya wa Uenezi, Amos Makalla

Nakauliza kwa wadau kwa nini anaambatana na Makalla lakini hakuambatana Makonda kipindi chote alipokuwa mwenezi

Nikaambiwa jamaa alimgomea Makonda sababu japo hazijawekwa wazi
Jibu;
1. Ulimuuliza nani
2. Kwenye kikao gani
3. Wewe kama nani katika kikao hicho
4. Hao wadau ni akina nani hapo UFIPA
5. Ulikuwa umewekewamo au K2 cha Chuga pale kimandolu..
Bure kabisa
 
Pamoja na sifa zote awe na heshima Kwa wenzake, Kuna mambo anatakiwa ayafanye Kwa faragha na IA Kwa staha lakini akiwa firm. Tatizo kubwa la huyo Mh. Mkuu wa Mkoa yeye anapenda kuheshimiwa lakini hapendi kuheshimu wenzake, anapenda kusikilizwa lakini hapendi kusikiliza wenzake.

Yale mahojiano alivyofanya kwenye kikao na Commissioner wa TANAPA hakika ilikuwa kumkosea heshima mbele ya anaowaongoza, hata Yale majibu yule baba alijitahidi kuyajibu kwakua alishavurugwa amani yake kwakuonyeshwa dharau na kuamrishwa.

Mkuu wa Mkoa ajifunze leadership skills; pia ajifunze kutofautisha hadhira, tatizo lake kubwa akipewa Madaraka makubwa kabla ya kuwa mentored na ku grow smoothly kwenye carrier path yake kwahiyo anaamini yeye anajua kuliko wengine wote, which is self seeking
 
Namuona Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi yupo bega kwa bega na Katibu mpya wa Uenezi, Amos Makalla

Nakauliza kwa wadau kwa nini anaambatana na Makalla lakini hakuambatana Makonda kipindi chote alipokuwa mwenezi

Nikaambiwa jamaa alimgomea Makonda sababu japo hazijawekwa wazi
Let me confirm it to you....

mtendaji mkuu mpya wa cha alipoteuliwa alifanya mazungumzo na alie mteua. na kwamba alishauri kama sharti, ili aifanya kazi hiyo vizuri sana, kwa ufanisi na kwa mafanikio zaid, na hata kazi ikiharibika alaumiwe yeye as party SG. Basi akaomba safu yake iwe kama ilivyo sasa.....

na kwahiyo hapakua na moja kugoma au kususa kufanya kazi na mwingine ndani ya CCM, it was just just mipango tu 🐒
 
Nchimbi hawezi kuongozana na vichaa
Wewe ndiye Kichaa, hayawani, punguani, kiroboto, Makonda ndiye chaguo la watanzania mtu yeyote akilinganishwa naye lazima amshinde kwa hoja. Kaeni na ujinga wenu badala ya kujifunza toka kwa Makonda.
 
Let me confirm it to you....

mtendaji mkuu mpya wa cha alipoteuliwa alifanya mazungumzo na alie mteua. na kwamba alishauri kama sharti, ili aifanya kazi hiyo vizuri sana, kwa ufanisi na kwa mafanikio zaid, na hata kazi ikiharibika alaumiwe yeye as party SG. Basi akaomba safu yake iwe kama ilivyo sasa.....

na kwahiyo hapakua na moja kugoma au kususa kufanya kazi na mwingine ndani ya CCM, it was just just mipango tu 🐒
Na hiyo ni big failure kwa sababu team hii ndiyo iliyomuundia zengwe Chongolo akaondolewa, na kibaya kabisa haina ushawishi kabisa tena haina ushawishi nasema. Ni team iliyojaa walinda maslahi ya mafisadi na wezi.
 
Dr. aambatane na wa la saba koromije - kujiaibisha.
 
Jibu;
1. Ulimuuliza nani
2. Kwenye kikao gani
3. Wewe kama nani katika kikao hicho
4. Hao wadau ni akina nani hapo UFIPA
5. Ulikuwa umewekewamo au K2 cha Chuga pale kimandolu..
Bure kabisa
Mamaako ndio aliniambia mkuu, tukiwa tunapiga stori baada ya kumaliza shughuli
 
Namuona Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi yupo bega kwa bega na Katibu mpya wa Uenezi, Amos Makalla

Nakauliza kwa wadau kwa nini anaambatana na Makalla lakini hakuambatana Makonda kipindi chote alipokuwa mwenezi

Nikaambiwa jamaa alimgomea Makonda sababu japo hazijawekwa wazi
Nahisi walikuwa na tofauti zao yeye na Makonda. Hata hii Makonda kutolewa kwenye hicho cheo ni kwa sababu hizohizo
 
Namuona Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi yupo bega kwa bega na Katibu mpya wa Uenezi, Amos Makalla

Nakauliza kwa wadau kwa nini anaambatana na Makalla lakini hakuambatana Makonda kipindi chote alipokuwa mwenezi

Nikaambiwa jamaa alimgomea Makonda sababu japo hazijawekwa wazi
Nchimbi anajitambua hawezi kuandamana na yule majununi.
 
Let me confirm it to you....

mtendaji mkuu mpya wa cha alipoteuliwa alifanya mazungumzo na alie mteua. na kwamba alishauri kama sharti, ili aifanya kazi hiyo vizuri sana, kwa ufanisi na kwa mafanikio zaid, na hata kazi ikiharibika alaumiwe yeye as party SG. Basi akaomba safu yake iwe kama ilivyo sasa.....

na kwahiyo hapakua na moja kugoma au kususa kufanya kazi na mwingine ndani ya CCM, it was just just mipango tu 🐒
Sasa mzee hapo ume confirm nilichokisema,
Kama aliomba kuteuliwa mtu mwingine ina maana aliyekuepo hakutaka kufanya naye kazi
 
Na hiyo ni big failure kwa sababu team hii ndiyo iliyomuundia zengwe Chongolo akaondolewa, na kibaya kabisa haina ushawishi kabisa tena haina ushawishi nasema. Ni team iliyojaa walinda maslahi ya mafisadi na wezi.
hakuna failure upande wowote,
na hapakua na zengwe lolote dhidi ya chongolo. E.Nchimbi alirejeshwa nyumbani kutoka ubalozini not for granted, it was a organized plan 🐒

ushawishi unaupimaje na unaupima wap?

ushawishi wao na ufanisi wao unapimwa kwa kiwango cha ushindi ktka uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ukilinganisha na waliotangulia na sio vinginevyo 🐒
 
Bosi Dkt Nchimbi hafai kuwa KM wa Chama kwa hali ilivyo sasa, unakumbuka 2015 tulivyohangaiga wana CCM, ilikuwa ukivaa nguo ya Chama kama umejinyea. Ilihitajika mtu kama Dkt Magufuli ambaye aliacha kabisa kunadi u CCM akawa anajinada kama yeye with rhetoric za wapinzani na wapiga kura Wakamuelewa. So hata sasa Dkt Nchimbi nasema hafai kwenye hiyo nafasi. Ni bora angesubiri kuja kuwa Makamu wa rais tu ila hana ushawishi kwa wapiga kura. Makala ndiyo zero kabisa tena zero afadhali ya Mbowe.
 
Back
Top Bottom