suala la kutaka au kutokutaka hakuna, suala apo ni deliverrence.....Sasa mzee hapo ume confirm nilichokisema,
Kama aliomba kuteuliwa mtu mwingine ina maana aliyekuepo hakutaka kufanya naye kazi
still unashow chuki binafsi dhidi yao,coz let's face it in reality. How do you measure success or failure of somebody activity in less than 2 months 🐒Bosi Dkt Nchimbi hafai kuwa KM wa Chama kwa hali ilivyo sasa, unakumbuka 2015 tulivyohangaiga wana CCM, ilikuwa ukivaa nguo ya Chama kama umejinyea. Ilihitajika mtu kama Dkt Magufuli ambaye aliacha kabisa kunadi u CCM akawa anajinada kama yeye with rhetoric za wapinzani na wapiga kura Wakamuelewa. So hata sasa Dkt Nchimbi nasema hafai kwenye hiyo nafasi. Ni bora angesubiri kuja kuwa Makamu wa rais tu ila hana ushawishi kwa wapiga kura. Makala ndiyo zero kabisa tena zero afadhali ya Mbowe.
Unafiki wa CCM.Mbona Makonda kasifiwa alikichemsha chama?!
Unatumia kipimo gani? Yaani ile mikutano ya kisanii ndiyo ijenge CCM? Wewe una akili sawasawa au kichwa chako ni kifuniko cha shingo?Ninajua haumpendi Makonda. Lakin,Munyonge mnyonge na haki yake mpe. Makonda ni mzuri mara 500 kwenye uongoz kuliko Nchimbi na Makalla. Makonda, alivutia watu wengi sana kwenye mikutano yake.Na watu walimkubali. Alikipaisha chama.
Ujenzi wa stand ya mabasi ya Bukoba,, fuatilia mkuuKuna mahali nimesoma ambapo mwandishi ameomba kutajiwa angalao kero tano ambazo Makonda alizipatia ufumbuzi alipokuwa Mwenezi. Jibu halijatolewa. Je, yupo mwenye jibu?, atutajie.
Wala usisumbuke na huyu Mudawote kwa kuwa yeye ni kijana wa Makonda. Anaishi kwa kuandika posts za kumsifia yule Zerobrainstill unashow chuki binafsi dhidi yao,coz let's face it in reality. How do you measure success or failure of somebody activity in less than 2 months 🐒
I think kiungwana,
kipimo kizuri ni deliverrence ya uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu and not otherwise, ukilinganisha na delivery ya wengine huko awali 🐒
I think CCM imepata miongoni mwa watendaji wa chama bora mno, na I think hata wewe unambariki kwenye nafasi ya umakamu wa Rais hali ya kua huenda yeye anauwaza urais 🐒
Nchimbi alikuwa ni timu lowasa na anamjuwa makonda jinsi alivyotumika vibaya kumchafua watu hat mm nisingeweza kufanya Kaz na kichaaa Kama makondakataNamuona Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi yupo bega kwa bega na Katibu mpya wa Uenezi, Amos Makalla
Nakauliza kwa wadau kwa nini anaambatana na Makalla lakini hakuambatana Makonda kipindi chote alipokuwa mwenezi
Nikaambiwa jamaa alimgomea Makonda sababu japo hazijawekwa wazi
Hamna watoto wa mjini hapo......Kwa sababu wote ni watoto wa mjini na Makonda ni mlugaluga
Kwani kuna ubaya gani Upinzani ukipata nguvu? Demokrasia ina maana gani? Mwenye sera nzuri ndiyo ajenge ushawishi kwa watu.Ni kweli makala kapooza na atasababisha upinzani upate nguvu
Lazima umsifie Maliyamungu aka Bashite mtoto mpendwa wa JiweNi bora kuliko Nchimbi.
Yaani ungesikia alivyokuwa anapambwa humu kabla ya Ukatibu Mkuu usingefikiri hana ushawishi kwa wananchi kiasi hiki.
Ukilinganisha umaarufu na ushawishi kwa wananchi; Makonda is numerous times better kuliko Nchimbi.
Simply put: Makonda is hugely popular to Nchimbi and Makala combined.
Utaambatana naye vip na mtu asiyejitambua anachokiongea majukwaani,na ananuka damu za watanzaniaNamuona Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi yupo bega kwa bega na Katibu mpya wa Uenezi, Amos Makalla
Nakauliza kwa wadau kwa nini anaambatana na Makalla lakini hakuambatana Makonda kipindi chote alipokuwa mwenezi
Nikaambiwa jamaa alimgomea Makonda sababu japo hazijawekwa wazi
Mji gani?Kwa sababu wote ni watoto wa mjini na Makonda ni mlugaluga
Ujinga na welevu ni subjectiveYule ni kichekesho na si ushawishi, wenye akili hakuna ambaye anaweza kushawishiwa na Makonda. Wajinga ndio walikuwa wanamfuata
Kasifiwa na nani! Elewa maana ya ... Kasifiwa na nani😁Mbona Makonda kasifiwa alikichemsha chama?!
Mbeya!Mji gani?
Mkuu amka sio vizuri kulala mchana!Kwanza tuambie ili tujue kama unachoandika kina ukweli. Wakati Makonda akiwa Katibu mwenezi, Nchimbi alikuwa nani ili aambatae na Makonda?
Mzoga hufuatwa na inzi !Jambo la ajabu ni kuwa Makonda ndio alikuwa na ushawishi zaidi