Tetesi: Kumbe Nchimbi aligoma kuambatana kwenye ziara na Makonda?

Nchimbi alikuwa ni timu lowasa na anamjuwa makonda jinsi alivyotumika vibaya kumchafua watu hat mm nisingeweza kufanya Kaz na kichaaa Kama makondakata
Makonda ni genius, ningekuwa mi Nchimbi ningeungana naye ili kukivusha Chama. Jambo la Dkt Kikwete na Lowasa lilikuwa gumu sana maana unakuta Lowasa aliandaa timu ya kusimamia maslahi yake ya kura kiasi kwamba Dkt Kikwete 2010 kama ansingemtoa basi he was going to a one term president, na kibaya kabisa Nchimbi alitumika kama right hand man wa Lowasa tangu enzi za UVCCM hivyo huo mtandao ndiyo mpaka leo wanadhani upo lively, ila huo mtandao ulishakufa masikioni mwa wapiga kura labda serikalini tu na makundi ya wezi ila huwezi ukawa na mtandao bila lowasa au Dkt Kikwete hao ni viongozi waliopendwa tu bila kusema chochote!
 
Mbona Makonda kasifiwa alikichemsha chama?!
Kwa mfano tu wa kawaida, nimekupa kazi asubuhi nikaondoka zangu nikarudi jioni, baada ya kufika kwenye kazi niliyokupa nikakuambia "nimekupa kazi ila umechemka" tafsiri yake ni nini?
 
Bora!
 
Umemuuliza maswali ya msingi sana.Watanzania huwa wepesi kuamini uvumi na porojo bila kufikiri kwa kina.Sabaya aliposhtakiwa watu wachache mno waliojitokeza kutoa ushahidi na baadhi walionekana kupangwa,pamoja na mayowe yote yake kabla hajashtakiwa na baada ya kushtakiwa.
 
Wewe ndiye Kichaa, hayawani, punguani, kiroboto, Makonda ndiye chaguo la watanzania mtu yeyote akilinganishwa naye lazima amshinde kwa hoja. Kaeni na ujinga wenu badala ya kujifunza toka kwa Makonda.
Muuaji mwaga damu za watanzania,nyota ilianza kung`aa baada ya kuanza kuua watu
 
Fahali wawili hawakai zizi moja.
 
Si kweli. Magufuli alishaamua kuachana naye zamani tu.
Mmmh ...alivamia clouds media...ushahidi tosha kwenye CCTV cameras tuachane nayale wanamhutumu kama ya mauaji ...ya uvamizi alifanyaje Magufuli kama kiongozi wa nchi?
 
Aliogopa KUFUNIKWA. Acha aambatane na Kiazi mwenzake
 
Mmmh ...alivamia clouds media...ushahidi tosha kwenye CCTV cameras tuachane nayale wanamhutumu kama ya mauaji ...ya uvamizi alifanyaje Magufuli kama kiongozi wa nchi?
Nini maana ya uvamizi kwa mujibu wa sheria zetu za nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…