Tetesi: Kumbe Nchimbi aligoma kuambatana kwenye ziara na Makonda?

Tetesi: Kumbe Nchimbi aligoma kuambatana kwenye ziara na Makonda?

Hivi ni ipi ina-make sense? Boss kugoma kuambatana na mfanyakazi au mfanyakazi kugoma kuambatana na boss? Mgomo ni kwa wa chini dhidi ya wa juu na sio kinyume chase.
 
Umemuuliza maswali ya msingi sana.Watanzania huwa wepesi kuamini uvumi na porojo bila kufikiri kwa kina.Sabaya aliposhtakiwa watu wachache mno waliojitokeza kutoa ushahidi na baadhi walionekana kupangwa,pamoja na mayowe yote yake kabla hajashtakiwa na baada ya kushtakiwa.
Yaan Tanzania uongo ndio ukweli.Na ukweli ni uongo. Tuna shida kubwa sana. Makonda anawazid kila kitu. Ili kuhakikisha kuwa, wanamzuia ni kumtungia uongo tu.
 
Nafikiri Mungu ni wa wote. Kila kitu ni kwa zamu ndugu yangu. Hiyo ndiyo philosophy ya dunia. Watakuja kufa watu , musiotegemea. Mtabaki midomo wazi. Na watu, wenye mawazo kama yenu, uwezo wenu ni mdogo katika, kufikiria. Kuna mtu mmoja , Magu alipokufa akasema kwa kiburi kuwa Mungu ameamua ugomvi. Hata miaka miwili haikupita, ndugu yake nae akafa. Tuombe uhai tu lakin Mungu ni wa wote.
Mkuu sijakuelewa kabisa!
Magufuli alilewa sifa za mataahira kama kina Makonda akadhani uchaguzi itakua ni kumsukuma mlevi matokeo yake ule uchaguzi ulimchosha vibaya sana kiasi cha kumletea mauti!
🤝👊👍👏
 
Namuona Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi yupo bega kwa bega na Katibu mpya wa Uenezi, Amos Makalla

Nakauliza kwa wadau kwa nini anaambatana na Makalla lakini hakuambatana Makonda kipindi chote alipokuwa mwenezi

Nikaambiwa jamaa alimgomea Makonda sababu japo hazijawekwa wazi
Tukitumia nguvu hii hii kutafuta uchumi ba maisha bora Tanzania itakua Kama merikani

Majungu majungu tu
 
Siku zote Mwerevu kama Dk. Nchimbi hawezi Kuambatana na Mpumbavu wenu huyo 'Matege Ndani' uliyemtaja hapa Ok?
Kwa hiyo huyo Mzee Nchimbi na Makala waliovimbiana uso kama wako kwenye dozi ya ARV ndo werevu? Ungejua ni mafisadi na majizi usingeandika huu ujinga!
 
Alitukanwa kifilosofia. Unaweza sema alipakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.
Wewe hujui Rais altona aibu kusema maana tayari Makonda anawatu wanamkubali wengi ndani na nje ya Chama! Uamzi wa kumtoa Makonda Uenezi unatokana na team Msoga sio Mama!
 
Sasa hapo kuna uvamizi gani? Huyo si alikuwa anajulikana ni Mkuu wa Mkoa wa eneo husika. Ulitaka atembee bila ulinzi?
Kisa walushe Shilawandu??? Kama kweli basi kazi za wakuu WA mkoa za maCCM zakipumbavu
 
Yaani nyie mnaaminigi tu Makonda ni boss wa kila mtu duniani hapa.

Bure kabisa nyie
Anayeamua mtu gani awe kwenye ziara si ndio boss? Nchimbi aliamua Makonda asiwe kwenye ziara zao pamoja, ina maana yeye ndio boss... Na sio Makonda kuamua, angetakiwa asingeweza kubisha
 
Namuona Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi yupo bega kwa bega na Katibu mpya wa Uenezi, Amos Makalla

Nakauliza kwa wadau kwa nini anaambatana na Makalla lakini hakuambatana Makonda kipindi chote alipokuwa mwenezi

Nikaambiwa jamaa alimgomea Makonda sababu japo hazijawekwa wazi
Unawezaje kuambata na mtu ana kesi polis ya kutishia kuua,
 
Kuna mahali nimesoma ambapo mwandishi ameomba kutajiwa angalao kero tano ambazo Makonda alizipatia ufumbuzi alipokuwa Mwenezi. Jibu halijatolewa. Je, yupo mwenye jibu?, atutajie.
Dogo Mwenezi wa chama anatoa ufumbuzi wa tatizo hiyo ni katiba Gani ?
Mistake tuamini watxz wengi bado wajinga
 
Nchimbi alimuogomba Makonda kuwa ata, mu outshine. Makonda ana mvuto wa watu. Anapendwa kuliko hao wazee , ambao hawana, mvuto. Mambo ni ya kisasa sio ya, kina nchimbi na Makalla hata kuongea tu shida.
Makonda ana mvuto kwa wajinga zaidi. Siasa siyo makelele na vitisho vya kuwafanya watu kama mazuzu. Mtu anayeshawishi watu wasiende mahakamani,eti mahakama ni za matajiri,na huyohuyo ndiye chama chake kimeshika serikali,ameshindwa nini kuhamasisha mabadiliko ya kimfumo kupitia kwenye vikao vyao,ili mahakama na polisi zitende haki!!
 
Infact, kuna discrepancies kubwa sana kiumri, busara, uzoefu, hulka, hamasa, matamanio n.k kati ya Nchimbi na Makonda
 
Back
Top Bottom