kumbe ndio hivi?

kumbe ndio hivi?

dj medy

Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
48
Reaction score
9
habari zenu wanaJF.
mm ni mgen humu nna kama sku kadhaa na nnaomba samahan kwan sikujua kama kuna jitambulisha.
kwa kwel nmefuraiya sana jnsi elmu ya kmaisha inavyo tolewa hum, hakka kwa hz sku chache nmejfunza meng ambayo skutalajia kama nnge yakuta hum
 
Ukitaka msamaha toa laki mbili na nusu haraka sana ndiyo msamaha upewe.... karibu jf
 
Back
Top Bottom