habari zenu wanaJF.
mm ni mgen humu nna kama sku kadhaa na nnaomba samahan kwan sikujua kama kuna jitambulisha.
kwa kwel nmefuraiya sana jnsi elmu ya kmaisha inavyo tolewa hum, hakka kwa hz sku chache nmejfunza meng ambayo skutalajia kama nnge yakuta hum
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.