Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Laki 8Kwani Mshahara wa Mwalimu mwenye Degree ni Shilingi ngapi?
Watakujibu wenye degree mimi nina cheti.Kwani Mshahara wa Mwalimu mwenye Degree ni Shilingi ngapi?
Watakujibu wenye degree mimi nina cheti.Kwani Mshahara wa Mwalimu mwenye Degree ni Shilingi ngapi?
Jana Yanga na Man City wameunguza mikeka 😁Hz mikopo zinasaidia lakin kuna watu zinawamaliza,wengine wameshaacha kazi baada ya kuona wanachokipata ni kidogo
Kwenye mikeka napo unaweza kufa kwa presha mfano jana timu kubwa zote zilianza kwa kufungwa kama roho yako nyepesi unaweza kufariki kabisa
JidanganyeLaki 8
Ujumbe muhimu sana huuVijana mkiajiriwa huko jitahidini muwe na miradi ya kuwaingizia kipato na muache tamaa ya kumiliki vitu vya gharama kubwa kuliko mishahara yenu ya ualimu. Acheni kukopakopa hovyohovyo mtaiona kazi ya ualimu ni ngumu. Punguzeni matumizi ya fedha kwenye mishahara yenu
Jana Yanga na Man City wameunguza mikeka
Nje ya mada. Not relevant.Madeni hayana shida hata Bill Gates anakopa kwa hiyo ndugu zangu msiogope madeni