Kumbe ndio maana huwa nawaona walimu wenzangu wanatembea na mikeka kama 20 barabarani. Madeni yanaleta stress

Hz mikopo zinasaidia lakin kuna watu zinawamaliza,wengine wameshaacha kazi baada ya kuona wanachokipata ni kidogo

Kwenye mikeka napo unaweza kufa kwa presha mfano jana timu kubwa zote zilianza kwa kufungwa kama roho yako nyepesi unaweza kufariki kabisa
 
Vijana mkiajiriwa huko jitahidini muwe na miradi ya kuwaingizia kipato na muache tamaa ya kumiliki vitu vya gharama kubwa kuliko mishahara yenu ya ualimu. Acheni kukopakopa hovyohovyo mtaiona kazi ya ualimu ni ngumu. Punguzeni matumizi ya fedha kwenye mishahara yenu
 
Jana Yanga na Man City wameunguza mikeka 😁
 
Vijana mkiajiriwa huko jitahidini muwe na miradi ya kuwaingizia kipato na muache tamaa ya kumiliki vitu vya gharama kubwa kuliko mishahara yenu ya ualimu. Acheni kukopakopa hovyohovyo mtaiona kazi ya ualimu ni ngumu. Punguzeni matumizi ya fedha kwenye mishahara yenu
Ujumbe muhimu sana huu
 
Walimu waongezewe mishahara angalau wapate posho kama house allowance,ya maziwa sababu yavumbi,posho ya kuondoa stress maana Wana stress Hadi wanatuulia watoto wetu Kwa fimbo sababu madeni.kama mwl wa shahada mshahara ni kama laki tisa angalau na hizi posho zote zifike hata laki nane ili akijumulisha na mshahara wake anapata Hela ya kumudu gharama ya maisha.
 
Mwalimu akishajaariwa na serikali hata hawezi kumaliza miezi sita huyoo kashakimbia kuchukua mikopo mbalimbali na hapo ndipo stress zinapoanzia
 
Back
Top Bottom