U Uujn2 Senior Member Joined Jan 19, 2023 Posts 105 Reaction score 142 Nov 3, 2024 #21 Hiyo kukopa hovyo ni tabia mbaya ya mtu na haihusiani na ualimu au walimu! Ninaamini kuna walimu ambao wapo safi kabisa na huru dhidi ya hiyo mikopo ya hovyo! Nipo nao kwenye VICOBA na mambo yao ni mazuri sana...!
Hiyo kukopa hovyo ni tabia mbaya ya mtu na haihusiani na ualimu au walimu! Ninaamini kuna walimu ambao wapo safi kabisa na huru dhidi ya hiyo mikopo ya hovyo! Nipo nao kwenye VICOBA na mambo yao ni mazuri sana...!
K Kajeba JF-Expert Member Joined Oct 15, 2020 Posts 1,057 Reaction score 2,364 Nov 3, 2024 #22 mwanadodoma said: Kwani Mshahara wa Mwalimu mwenye Degree ni Shilingi ngapi? Click to expand... Laki 6 baada ya makato
mwanadodoma said: Kwani Mshahara wa Mwalimu mwenye Degree ni Shilingi ngapi? Click to expand... Laki 6 baada ya makato
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Nov 29, 2024 #23 Muuza Kangala said: Unakuta mwalimu amekopa Microfinance kama 3. Mshahara ukitoka siku mbilli hana kitu. Kinachofuata ni kubeti mikeka 20 kwa siku ili kulipa madeni. Kwa ujumla madeni yanatuletea fedheha walimu. Click to expand... Poleni sana wenye ajira.
Muuza Kangala said: Unakuta mwalimu amekopa Microfinance kama 3. Mshahara ukitoka siku mbilli hana kitu. Kinachofuata ni kubeti mikeka 20 kwa siku ili kulipa madeni. Kwa ujumla madeni yanatuletea fedheha walimu. Click to expand... Poleni sana wenye ajira.
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 10,406 Reaction score 19,892 Nov 30, 2024 #24 Hiyo mikopo huwa wanafanyia nini?
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Nov 30, 2024 #25 Uzi mzuri