Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laki 6 baada ya makatoKwani Mshahara wa Mwalimu mwenye Degree ni Shilingi ngapi?
Poleni sana wenye ajira.Unakuta mwalimu amekopa Microfinance kama 3. Mshahara ukitoka siku mbilli hana kitu.
Kinachofuata ni kubeti mikeka 20 kwa siku ili kulipa madeni.
Kwa ujumla madeni yanatuletea fedheha walimu.