mokala1989
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 2,236
- 728
Very interesting indeed.
Mchungaji mtikila kwa kawaida mimi humuona kuwa very colourful ambaye hupenda controversies
lakini ndani ya maandiko haya ameweka kuna facts nyingi tu na Inaelekea amefanya utafiti kwa muda mrefu tu
ila kwa kuwa mara nyingi alikuwa ana 'cry wolf ' na sisi wengine tulikuwa tulikuwa tunamuona kama ni opportunist fulani tu na mtaalam wa kubwabwaja tu.
Kwa hii article ninamuangalia huyu bwana kwa jicho jingine kabisa kwani amenifanya niisome zaidi ya mara 3.
Sijui wanajamvi mnasemaje kuhusu hili lakini mimi ninaona kuna ukweli mwingi kiasi kufanya niamini mengi aliyoaandika
ndugu yangu huwezi kuamini kuna watusi wasio na uzalendo na taifa hili hata kidogo ambao ni wakuu wa idara nyeti hapa nchini, juzi nusura mhutu na mtusi wapigane ofisini kisa mmoja kataja asili ya mwingine , ndugu zangu wazalendo wa kweli na wenye uchungu na taifa hili tuchukue hatua hawa si wakuwalinda hata kidogo!! Matatizo ya nani achinje na nani asichinje wilayani NZEGA yalichochewa zaidi na uhasama kati ya watusi na wahutu, nimefanya utafiti wa kutosha katika hili na sidhani kama serikali yangu imegundua, wananchi wa kawaida ilikuwa ni kufuata mkumbo tu kumbe ni chuki za wahamiaji haramu !!!!!!!!!!!!!!!!!! MUNGU niokoe mimi na taifa langu TANZANIA waamshe wanausalama hasa TISS na serikali yangu inayoonekana kufumbia macho bomu hili.