Kumbe ndio maana Kagame alikuwa na kiburi juu ya Kikwete

Kumbe ndio maana Kagame alikuwa na kiburi juu ya Kikwete

Achana na Mtikila. Mke wake ni Mhutu na ripoti hii ameandikiwa na FDLR.
Hata kama ingeandaliwa na shetani au malaika, sisi tunatazama authenticity ya content, ikiwa na mashiko tunaifanyia kazi kwa faida za vizazi vijavyo vya watanzania
 
Back
Top Bottom