Kumbe ndio maana Kagame alikuwa na kiburi juu ya Kikwete


ndugu yangu huwezi kuamini kuna watusi wasio na uzalendo na taifa hili hata kidogo ambao ni wakuu wa idara nyeti hapa nchini, juzi nusura mhutu na mtusi wapigane ofisini kisa mmoja kataja asili ya mwingine , ndugu zangu wazalendo wa kweli na wenye uchungu na taifa hili tuchukue hatua hawa si wakuwalinda hata kidogo!! Matatizo ya nani achinje na nani asichinje wilayani NZEGA yalichochewa zaidi na uhasama kati ya watusi na wahutu, nimefanya utafiti wa kutosha katika hili na sidhani kama serikali yangu imegundua, wananchi wa kawaida ilikuwa ni kufuata mkumbo tu kumbe ni chuki za wahamiaji haramu !!!!!!!!!!!!!!!!!! MUNGU niokoe mimi na taifa langu TANZANIA waamshe wanausalama hasa TISS na serikali yangu inayoonekana kufumbia macho bomu hili.
 

kahtaan anavyoogopa wachagga kuongoza nchi.
em pata ma-idea hapa kidogo lakini usimwagie huu uzi tindikali...
 
scumbag admin,kwan TUTSI sio watu?acheni maswala ya ubaguzi sote ni watu,tena msipoangalia tutaoa hadi wake zenu..STUPPID.
 
Awe mtusi, mjaluo, muhutu anastahili kuishi tanzania ili mradi awe amefuata sheria.. kuna mtanzania waziri kwenye serikali ya kagame.
 
Hii ni habari inayotingisha kila ubongo wa wenye akili timamu .

Napatwa na hofu sana juu ya uelewa wa watu wanayoipuuza hii habari kirahisi rahisi tu .

Mungu ibariki Tanzania .
 
wamasai tangu lini wamekuwa na mkoa? wanataka kuleta vurugu kama za kilosa na wakulima sasa wamehamishia kwenye siasa kama kule loliondo. OMG!! hawa jamaa ni nomads by nature , ni serikali iliwahurumia ikawalazimisha wawe na makazi ya kudumu wapelekewe shule kusoma (affimartive action), leo wanaamini wanamiliki arusha.hawa kweli sio wabantu..
 
wapelekewe shule kusoma (affimartive action), leo wanaamini wanamiliki arusha.hawa kweli sio wabantu..[/QUOTE] Full brown apartheid.
 
No wonder Mtikila alikua hana love kwa nyerere.....
Naamini kabisa haya maandiko....ofcourse naunga mkono hoja ya kusema JK sr alikua dikteta.
 
Basi inawezekana Mtikila aliuwawa na majasusi toka kwa kagemo
 
Huyo Mheshimiwa John ni yupi? Hebu fafanua tujue vizuri kama tumetawaliwa
 

Habari ni habari mkuu huyo aliepenyezewa ana kitu anakijua labda mpaka kufikia hatua ya kutaja idadi na majina hebu fumba macho halafu angalia angani
 
Duuh yale magombe ya kule kagera huyaoni yalivyo tofauti na ngo'mbe wetu wa asili kwa pembe zao na ukubwa wao πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•
 
Hivi unajua nchi ya eritrea kila mwananchi lazima afanye mafunzo ya jeshi . Sasa naomba usishangae kusikia watu elfu 30 kuingia tz kufanya uhalifu . Jibu ndio inawezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…