Kumbe ndio maana Katavi na Sumbawanga wanaua. Kwanini uharibu maisha ya mtu?

Kumbe ndio maana Katavi na Sumbawanga wanaua. Kwanini uharibu maisha ya mtu?

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Yaani napalangana kuuza kangala na huku napiga kazi..

Kuna dada mmoja alinikuta kazini (Kapuni naliweka jina lake.) Aliponikuta kazini alikuja hajui kitu. Nikamfundisha kazi.

Baada kujua kazi. Akabadilika akaanza kunichafua kwa mabosi. Asubuhi bosi akija anakuja amenuna. Ghafla nikaanza kuchukiwa.

Juzi nimeshangaa napewa barua ya uhamisho niende kituo cha kazi vijijini kabisa ambapo hata mishe nyingine huwezi kupiga.

Ingekuwa nipo karibu na sumbawanga ningeua mtu kwa radi
 
FB_IMG_17056580365135160.jpg
 
Maelezo hayatoshi Mkuu. Hatutakiwi tuhukumu kabla hatujajiridhisha, una uhakika gani kama huyo ndiye mtu amekuharibia? Sehemu za kazi ni changamoto sana ase.
 
Back
Top Bottom