Kumbe ndio maana Katavi na Sumbawanga wanaua. Kwanini uharibu maisha ya mtu?

Kumbe ndio maana Katavi na Sumbawanga wanaua. Kwanini uharibu maisha ya mtu?

Maneo ya kazi ukitaka kuwa salama kaa mbali na wanawake na akitaka kitu mwambie hauna uwezo nacho
Naomba mtoa uzi asome uzi wako huu. mkuu nimeshuhudia vijana wezangu wakifukuzwa kazi kwa issue ndgo tu ila chanzo ni wanawake na mimi nilikuwa na waonya sana .Maana namimi nilionywa na kaka mKubwa aliyenipa connection ya kazi kwa company X Na ndivo ilivyo asee
 
Back
Top Bottom