[emoji23][emoji23][emoji23] Wanaangushia sanaa.. Chakula za wakubwaaa mkuu!! Kuna Matron flani aliajiriwa kambi flani nilikuwa kama Ngurutu aisee alikuwa mweupe mzuri balaaaa... Sasa sijui alifanya kosa gani akawekwa Mahabusu aliliaa balaaaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Maana mahabusu ilikuwa Getini tunapoingia kambini so tulimuonaa...nilishangaa snaaaKwa lugha ya kiaskari zaidi naomba niseme hiviiii
"serengeti jeshini ni morale tuuuu"
Inasemakana HivyoMgeni huwezi oa?