Kumbe ndio wanajeshi wenyewe!?

Israel wanautaratibu mzuri sana, ukishamaliza elimu ya chini kabla ya kwenda elimu ya juu, unajiunga jeshini kwa mafunzo na kuna muda maalum unatumika ukimaliza unaendelea na elimu ya juu. ukitaka unaweza tena kurudi jeshini kuendelea na jeshi ama ukaendelea na mambo yako. Ndiko tulikotoa wazo la JKT.
 
Sasa mbona kwetu sasahivi wanachagua baadhi tu ya shule?
 
Nyota yangu ya 3, nitaichukulia huko. Hahahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…