Kumbe ndio wanajeshi wenyewe!?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nikisangaaaa!!

Moraletu hao(baadhi yao) ni moraletu kule mkuu, ila kimsingi ndo ilivyo
 
Umeutendea haki Uzi,si kwa mi picha picha hiyo....Ina maana Wa kwetu huku wanatisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wa kwetu wengi vilaza, kuanzia yupo JKT mpaka anavaa gwandwa K inasuguliwa, akila kiapo mwili wote laini kama mlenda shenzy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…