Mkuu hakuna MADANGURO huko Israel? Tukafanye angalau utalii aisee.
Aisee, hatari sana.Huko ni pakijinga,hata gay parade kubwa kabisa ilifanyikia huko.
Ndio utajua jamaa ni mafirauni.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] Wanaangushia sanaa.. Chakula za wakubwaaa mkuu!! Kuna Matron flani aliajiriwa kambi flani nilikuwa kama Ngurutu aisee alikuwa mweupe mzuri balaaaa... Sasa sijui alifanya kosa gani akawekwa Mahabusu aliliaa balaaaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Maana mahabusu ilikuwa Getini tunapoingia kambini so tulimuonaa...nilishangaa snaaa
Hahah kumbe ndio Hawa.? Bc uajemi huko kumbe ni mchele mchele eeeHutu tudada Ndiyo tunapiga wanaume wote wa Arabuni na Uajemi!!!
Sipati picha wakikutana na mpalestina aliyetoka kuvurugwa huko Alqasa face to face.