Kumbe ndio wanajeshi wenyewe!?

Kumbe ndio wanajeshi wenyewe!?

Mkuu hakuna MADANGURO huko Israel? Tukafanye angalau utalii aisee.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Wanaangushia sanaa.. Chakula za wakubwaaa mkuu!! Kuna Matron flani aliajiriwa kambi flani nilikuwa kama Ngurutu aisee alikuwa mweupe mzuri balaaaa... Sasa sijui alifanya kosa gani akawekwa Mahabusu aliliaa balaaaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Maana mahabusu ilikuwa Getini tunapoingia kambini so tulimuonaa...nilishangaa snaaa

Huyo walikuwa wanampa mteru tu..


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Aisee hawa wajumbe wanang'ata na kupuliz huku wanacheka...
 
.
IMG_20220420_175336.jpg
 
Back
Top Bottom