Kumbe ndio wanajeshi wenyewe!?

Kumbe ndio wanajeshi wenyewe!?

Uyo ikitokea baati mbaya akachomwa bisibisi na teja wa vingunguti,na umauti ukamkuta nchi isipoweza kujitetea wanaingamiza bila hata umoja wa mataifa kuingilia.
 
Tulia wewee
[emoji23] [emoji23] kwa hili jibu ni tosha kuwa imeeleweka hili,cjui unakumbuka ile wokozi wa entebe airport hawa jamaa kuna ndege iliwateka waisrael nadhani walikuwa ni wengi tu,sasa yale magaidi yakatua uwanja wa ndege wa uganda kwa kujaza mafuta nahisi kisha waendelee na zao ohooo nusu saa tu,kikoc cjui kilitokea wap cha waisrael wakafika wakawatwanga wale magaidi wakachukua raia wao wakala kona,...

Kiufupi hii race mimi mwnyw huwa siilewi ni ya namna gana kwanza hawazagai hovyo...kuna uongo unazushwa zushwa kuwa wapo rwanda na ethiopia ni kuwalisha matango pori tu hawa watu wajibana hawazagai kabisa labda nchi za ulaya huko,yaana matajili wao,kila kitu wao .
 
.
8ef3288e42ba15f9f0335af6b7af67ce.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wengine hapo ni malesb nimeona yanataka kuvishana pete
 
Back
Top Bottom