Kumbe ndo maana Rushine De Reuck anajituma hivi? Kapitia life gumu

Kumbe ndo maana Rushine De Reuck anajituma hivi? Kapitia life gumu

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,680
Reaction score
31,804
Katika podcasts na Fatma Dewji. Jamaa kafunguka how alibreak generational curse. Your background does not define you.

🗣️"Kiukweli ukitokea Kalksteenfontein, ni eneo ambalo sio rahisi kwa ukuaji, soka lilinisaidia kuepuka maisha ya kihuni na ujambazi.

Sijawahi kulizungumzia hili ila hata familia yangu, baba Yangu alikuwa jambazi na kaka yangu pia. Hivyo unaweza kuona ilikuwa ngumu kiasi gani kwangu mimi kuepuka njia hiyo.

Kama nisingekuwa na soka ni wazi kwa 100% ningeenda uelekeo tofauti, kwa sababu hiyo ni kawaida kwa maisha ninayotokea"

-Rushine De Reuck, kupitia mahojiano yake aliyoyafanya na Fatema Dewji.


1790062061120.jpg
 
Huyu Fatma Dewji anawalipa Simba kiasi gani kwa kufanya mahojiano na wachezaji wa Simba.
Simba wana kipindi chao cha tv, wana app, wana website kwanini mtu binafsi anapewa nafasi bila Simba kunufaika.
 
Background za hao colored wa SA ni tough sana hakuna alichosema sio kweli
Mitaa Yao ni migumu mno pale South kuua au kuuliwa ni kawaida
Watu hawana mda wa kuomboleza ni kulipa kisasi hadi dam ya mwisho
 
Huyu Fatma Dewji anawalipa Simba kiasi gani kwa kufanya mahojiano na wachezaji wa Simba.
Simba wana kipindi chao cha tv, wana app, wana website kwanini mtu binafsi anapewa nafasi bila Simba kunufaika.
Sidhani kama ni pesa kubwa, na huenda wanafanya kwa love tu
 
Back
Top Bottom