Mrembo mnoIla hafaninii km kaishi kwenye gangsters paradise. Uwiii
Mmeanzaa waja. Sijui mkoje.Mrembo mno
I meant anaonekana mstaarabu ukilinganisha na maisha aliopitia.Mmeanzaa waja. Sijui mkoje.
Hapo sawa.I meant anaonekana mstaarabu ukilinganisha na maisha aliopitia.
Usiguse usiguse usiguse yaan ukisikia usiguse usiguseMzee wa kazi chafu
Hajaishi tandale kwa tumbo huyo huko alipoishi ni km vile palivyo Masaki au Oysterbay hapo Bongo kwenuI meant anaonekana mstaarabu ukilinganisha na maisha aliopitia.
Ana haki zote kwa sababu Simba inamilikiwa na Kaka yake ambaye ni Mo Dewji.Huyu Fatma Dewji anawalipa Simba kiasi gani kwa kufanya mahojiano na wachezaji wa Simba.
Simba wana kipindi chao cha tv, wana app, wana website kwanini mtu binafsi anapewa nafasi bila Simba kunufaika.
Kwenye zile Bilioni anazo wadai kaka yake MO nae kakata humo humo,yaani wamekatana juu kwa juu.Huyu Fatma Dewji anawalipa Simba kiasi gani kwa kufanya mahojiano na wachezaji wa Simba.
Simba wana kipindi chao cha tv, wana app, wana website kwanini mtu binafsi anapewa nafasi bila Simba kunufaika.
Watu wanawaza nnyaa tuuDuh... mkuu uwe unaangalia ulichoandika kapla ya kupost..... story tako ndio story gani?