Duh... mkuu uwe unaangalia ulichoandika kapla ya kupost..... story tako ndio story gani?TUNAOMBA STORY TAKO MKUU
Haswaa, maana ilitakiwa awe waru waru, type ya kina Juma nyosso, ila yeye walaa, yukoo mpole na mkimya mwenyewe.He's so humble ndo Maana kafanikiwa kuchomoka kwao, watu wamebeba ukoo mzima mabegani
Kawa mcharo eeeehHaswaa, maana ilitakiwa awe waru waru, type ya kina Juma nyosso, ila yeye walaa, yukoo mpole na mkimya mwenyewe.
Mpole na mkimya.Kawa mcharo eeeeh
Sidhani kama ni pesa kubwa, na huenda wanafanya kwa love tuHuyu Fatma Dewji anawalipa Simba kiasi gani kwa kufanya mahojiano na wachezaji wa Simba.
Simba wana kipindi chao cha tv, wana app, wana website kwanini mtu binafsi anapewa nafasi bila Simba kunufaika.