kumbe NELLY ushobokaji alianza zamani


We Jamaa Bwana, Ujakosea Ata Kidogo Atachezea Matusi Ya Nguvu.
 
sabasita mkuu uko vizuri sana kuna thread nyingi umu ndani unaziokoa kwa vitendo bravo swahiba mpaka wataelewa bila kutumia fimbo.
 
Last edited by a moderator:
yani mi pia maana....!

Sasa wenzangu na mimi ambao hatukupita shule na kama tulipita hatukuwa na walimu tutaelewa hii makitu kweli? Jamaa si atatupasua vichwa bure au?
 
Inaweza kuta mother ake ni Mdengereko wa mafia.
 
Wat wanamfagilia dimondo bila kujijua! Hongera mtoa mada kwa
Kutuapdate na maisha ya dimondo! Tumekuelewa
 
Fasihi kama almasi; inabalikika rangi kwa kila inapogeuzwa. Mleta mada kachemka baaasi. Labda kama anaamanisha alichoandika, kwa hiyo katika uchambuzi tunasema msanii hajafaulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…