Kumbe neno Mtibeli au Tibeli sio neno rasmi kwenye lugha ya Kiswahili?

Kumbe neno Mtibeli au Tibeli sio neno rasmi kwenye lugha ya Kiswahili?

Mtibeli ni mtu yeyote anayeogopa wanawake na mwenye chuki kali kwa single mothers. Sifa kuu ya mtibeli ni uoga mbele ya mwanamke.
 
Sasa kumbe alikuwa anatetea kitu kisicho exist? Sasa huo si utoto?
 
Km utibeli/mtibeli ndio maana yake hiyo, basi na mie ni Mtibeli.
 
Kuna huyu mdau wa hapa jamiiforums anapenda sana kutumia neno MTIBELI, utasikia "sheria za kitibeli ni ngumu sana haiwezekani kwa mtu wa kawaida sijui na uongo gani mwingine huko😂"

Binafsi namkubali sana huyu jamaa ila umeshawahi kujiuliza UTIBELI ni nini?

Sasa leo nimeamua kufuatilia nijue maana ya neno MTIBELI kumbe hilo neno limebuniwa na linatumiwa na mtu mmoja tu hapa dunia na halitambuliki kwenye lugha ya KISWAHILI🤣


Hamjambo ndigu zangu Watibeli 😁 !
 
Hilo neno sisi tumelitumia sana shule utaskia jamaa mtabe sana... Ni moja ya neno maarufu sana kwa shule za Dar enzi hizo (sijui kwa mikoa mingine).
Mtabe na mtibeli maneno mawili tofauti.
Mtabe lina maanisha mtu mwenye akili nyingi kwa majina mengine kipanga, genius, n.k.
 
Back
Top Bottom